Masanilo
Platinum Member
- Oct 2, 2007
- 22,286
- 4,493
Taarifa kutoka vyanzo vya kuaminika
Hali ya Kisukari ya Kamanda Lwakatare ni mbaya vipimo ya muda mfupi uliopita vimesomeka 19 mmol/ polisi wanadai Dr wao amempima imeonyesha ni 15mmol/l. Yote hivyo ni vipimo bila kujali accuracy. Kibaya zaidi wamewakatalia mawakili wetu kumpeleka hospital. Hii ni mbaya sana.
Kwa wale walio kwenye fani ya tabibu wanajua nini kinaweza mtokea kamanda Lwakatare. Hii inaweza sababisha baadhi ya viungo muhimu kushindwa kufanya kazi zake na kuharibika. Blurred vision kupelekea upofu, blood pressure na matatizo kwenye moyo, haya ni baadhi ya madhara ya hyperglycaemia Kiwango cha juu cha sukari mwilini.
Chonde chonde Polisi muwahisheni kamanda hospital kabla hali haijawa mbaya.