CUF yapata pigo GEITA

CUF yapata pigo GEITA

ray jay

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2011
Posts
1,084
Reaction score
485
Chama Cha Wananchi (CUF) kimepata pigo wilayani Geita, baada ya wanachama 203 wa kata ya Nkome kukihama na kujiunga na CCM.
wanachama hao walipokelewa na Mwenyekiti wa Jumuiya ya wazazi Taifa, Abdallah Bulembo kwa kuwakabidhi kadi za CCM wakati wa mkutano wa hadhara kwenye kjijiji cha Nkome.
 
kmeli magamba ni mamburula,,,na uwo mchezo wananch wameshaus2kia,,hakuna lolotn apo
 
Baada ya kushindwa kuiangamiza cdm sasa ccm wanawamaliza wanao ccm b.
 
weka picha basi tuzione kama ni mpya au zimeshachakaaa na zinaarfu ya samaki...maaana hapo nkome ni ziwani biashara kubwa ni fish
 
Hivi ndgu zanguni munayafanya haya kwa kumutumikia nani? Hamuna hofu ya Mungu? Hivi nyie kweli ni Watanzania ? Kama ni kufilisika ccm imefikia a point of no return. Ki ukweli mie nilikuwepo kama mwananchi, jumla ya kadi zilizo rudishwa ni 4 tu na wala si 203. Baadae Bulembo akauliza "mbona sioni kadi za cdm ?" . Bulembo hakuna analofanya la maana kukisaidia ccm kama si kuharibu rasilimali za watanzania walipa kodi. Nawashauri munao fanya haya mujaribu kutumia akili hata ndogo tu ya kawaida "common sense" . Hii tabia ya kuishi kwa kulamba miguu ya wakubwa haina tija kwa taifa letu but only kuwasaliti watanzania wenzenu wanao umizwa na mfumo .
 
Kwa kilo ya mchele sh 2500,sembe sh1500 elimu hovyo form 1 hajui kusoma wala kuandika,umeme unit 1 sh 220,maji ndoo sh 500, afya hapo kibaha kitanda kimoja wanalala watoto wagonjwa 4,hivi kweli uhamie ccm?they must be joking
 
inamaana wamekosa kadi ya CDM ya kuwaongopea wananchi? maana kila wakipokea kadi wanasema za CDM
 
Wana JF ni vyema tukajiuliza swali la msingi; Hivi kwa hali jinsi ilivyo nchini kuna mtanzania mwenye akili timamu anaye weza jiunga na CCM ? au ndo wale MISUKULE wao wanarudishwa zizini?
 
Watakuwa wana akili ya maiti.. wamepewa tisheti na kanga hao..
 
Kwa kilo ya mchele sh 2500,sembe sh1500 elimu hovyo form 1 hajui kusoma wala kuandika,umeme unit 1 sh 220,maji ndoo sh 500, afya hapo kibaha kitanda kimoja wanalala watoto wagonjwa 4,hivi kweli uhamie ccm?they must be joking

Anaezidi kuwasupport wakoloni weusi {magamba} si mTz wa kweli na hana uchungu na nchi hii. Na laana za magamba zitaambatana naye milele.
 
weka picha basi tuzione kama ni mpya au zimeshachakaaa na zinaarfu ya samaki...maaana hapo nkome ni ziwani biashara kubwa ni fish
nunua gazeti la kila siku la uhuru, la jumanne ya tarehe 19th march 2013, ukurasa wa 5.,utaikuta picha ya wanachama hao waliohamia ccm wakiwa wameshika kadi zao wakiapa.
 
Wana JF ni vyema tukajiuliza swali la msingi; Hivi kwa hali jinsi ilivyo nchini kuna mtanzania mwenye akili timamu anaye weza jiunga na CCM ? au ndo wale MISUKULE wao wanarudishwa zizini?

Wanatafuta wa kufa nao na kushea hukumu ya dhambi walizotutendea.
Watawapata mamburura na wajinga wenzao.
 
nunua gazeti la kila siku la uhuru, la jumanne ya tarehe 19th march 2013, ukurasa wa 5.,utaikuta picha ya wanachama hao waliohamia ccm wakiwa wameshika kadi zao wakiapa.
Hata wafungia mandazi hawanunui
 
weka picha basi tuzione kama ni mpya au zimeshachakaaa na zinaarfu ya samaki...maaana hapo nkome ni ziwani biashara kubwa ni fish

Mkuu wangu siku hizi picha siyo ushahidi wa kuaminika, mwigulu anazichonga kama hana akili nzuri.
 
Kwa kilo ya mchele sh 2500,sembe sh1500 elimu hovyo form 1 hajui kusoma wala kuandika,umeme unit 1 sh 220,maji ndoo sh 500, afya hapo kibaha kitanda kimoja wanalala watoto wagonjwa 4,hivi kweli uhamie ccm?they must be joking

you are my great thinker of today
 
Hiv mtu akitoka chumban na kwenda sebulen anakuwa amehama nyumba?
 
Usilisifu panga lako kwa kukata mpapai... Kwamana hyo cuf ni mpapai ambao hauna stamina ya kuhimil panga hata butu (ccm). Inabid m2 usifu panga lako kwa kukata mbuyu au mpingo (cdm)
 
Back
Top Bottom