Character X
JF-Expert Member
- Nov 22, 2012
- 331
- 382
Katika kutafakari hali inavyokwenda., nimekumbuka kipindi flani ambapo Ng. Kikwete alisifika kwa kua mtu Social, nakujipatia tittles nyingi along that line., mtu muungwana sana, mpenda watu., mtu wa watu., n.k kiasi akafikia maali (nadhani aliona jambo flani hapa) akasema hataki "sifa za kijinga"
Baada ya muda flani nchi ikaanza kuyumba, bei za bidha zika panda ghafla., watu flani wakashutumiwa kulanjama za kupandisha bei za sukari makusundi kwa kujenga demand feki., wananchi wakaanza kupiga kelele., watu wakaanza kuandamana., mambo yakaanza kwenda shaghala baghala., bungeni sheria ikaanza kuchezewa tu., watu wakalia na ufisadi, ubadhilifu wa fedha na uonevu.,
Ikafika hatuwa wananchi waka anza kumdharau Ng. Kikwete waziwazi kufikia maali pakuweka picha flani chafu ya aibu na yakutengeneza kwenye mitandao ya jamii iliyo mdhalilisha sana.,
Ikafika mahali mbunge mmoja mpiganaji akiwa bungeni akafanya lile jambo ambalo sasa linanipa kuandika post hii
-AKAMUITA RAISI DHAIFU!
Sasa hapa., nakumbuka pia aliwahi kusema watu hua wanamuulizaga mbona yeye anacheka tu., kwenye kilakitu yeye anacheka tu akasema tabasamu lake lina maana nyingi., anaweza kua amekasirika lakini bado aka tabasamu tu! ha ha ha ha.,
Baada ya hapo sasa (hisia zangu zinanituma kufikiri) labda walio chini yake na wale aliowaweka kusimamia vyombo vya kiusalama vinavyo mtii waka mshauri wakamwambia "mzee subiri kama wewe hauwezi tuachie sisi., hawa jamaa watajua kama wewe ni dhaifu ama vipi" (ha aha ha ha., usikasirike, ni hisia zangu tu)!
Kwakua mimi nina Imani kabisa juu ya utu wa mh. rais, wala sitilii hofu utu na ubinaadamu wake,ila sasa kilichofuata flani katekwa, flani kang'olewa kucha, flani kakimbilia ughaibuni kuhofia usalama wake.
Haya ni mawazo tu., wala hayana sababu ya kukutoa mishipa. Napendekeza ukisha soma nawewe tafakari kama hutajali.
-Read between the lines