CHADEMA Igharamie uchunguzi Binafsi Kuhusu Clip ya video iliyotolewa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA Igharamie uchunguzi Binafsi Kuhusu Clip ya video iliyotolewa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Chakaza, Mar 14, 2013.

 1. Chakaza

  Chakaza JF-Expert Member

  #1
  Mar 14, 2013
  Joined: Mar 10, 2007
  Messages: 24,661
  Likes Received: 24,589
  Trophy Points: 280
  Nimefuatilia kwa makini sakata hili la video ya uchochezi iliyotolewa kwenye mtandao na kuchukuliwa kwa uzito wa juu na kasi ya ajabu na jeshi letu la Polisi.Pia tamko la CHADEMA kupitia katibu wake mkuu.

  Kwa muono wangu hili jambo sio zuri kwa pande zote, kama alivyosema Slaa kuwa mkanda "umepikwa" nadhani hiyo haitoshi maana wapinzani wao na Polisi yao wanaweza kukomaa kuwa kwa uchunguzi wao ni kuwa mkanda ni wa kweli.

  Lakini hata kwa CCM na serikali yake kama itadhibitika mkanda umechakachuliwa hilo litakuwa pigo la mwisho kwa tuhuma kuwa kuna mkono wa serikali katika matukio yote ya aina hiyo yanayotokea.

  Nawashauri CHADEMA wasiishie kusema wanasubiri kesi ipelekwe mahakamani pekee,maana hata kesi kuwa mahakamani inaweza chukua hata miaka mitatu na huku propaganda chafu zikiendelea na imani ikitoweka kwa wale ambao uelewa wao wa masuala ya tekinolojia hii ni mdogo( Ambao ni wengi sana miongoni mwetu)

  CHADEMA wagharamie kwa uwazi kuweka wapelelezi hata wa nje wanaofanya kazi kisheria na wenye uwezo wa kungamua nini kimefanyika na kutoa taarifa ya wazi kwa jamii ya Kitanzania na hata nje ya nchi ili watawala wetu wafahamike wanafanya nini katika nchi inayopigiwa upatu kuwa ni ya Amani.

  Kila jambo jema lina gharama yake.
   
 2. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #2
  Mar 14, 2013
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,730
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Wazo zuri sana, inashangaza mikakati ya hatari kama hiyo inayoonekana kwenye ile clip kufanywa sehemu ambayo watu wanapita pita. Hii clip kwa vyovyote vile ni moja ya mikakati ya akina Nchemba na mzee wa gombe ya kuimaliza Chadema kabla ya 2014.

  CCM mtaua watu lakini mwisho wa siku damu ya mtu haipotei bure, mtaumbuka tu. only time will tell.
   
 3. G

  Gagnija JF-Expert Member

  #3
  Mar 14, 2013
  Joined: Apr 28, 2006
  Messages: 6,425
  Likes Received: 698
  Trophy Points: 280
  Kama alivyoshauri Chakaza, CDM wagharamie uchunguzi huru wa hii video. Tukiwaacha hivihivi na harakati zao chafu, tunaweza kufika 2014 nchi ikiwa katika hali ya sintofahamu ambalo ndilo lengo lao kuu.
   
 4. RGforever

  RGforever JF-Expert Member

  #4
  Mar 14, 2013
  Joined: Apr 3, 2011
  Messages: 6,374
  Likes Received: 2,259
  Trophy Points: 280
  Mi nataka nijue lwakatare mwenyewe amekanusha tuhuma hizo au? Maana ni mpaka lwakatare afungue mdomo kukana tuhuma hizo.....

  Baada ya hapo ndo tuendelee na mengine
   
 5. C

  Chibenambebe Senior Member

  #5
  Mar 14, 2013
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 148
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mwenye akili timamu hawezi kuamini hiyo video clip hata kidogo! Imani yangu ni kwamba wananchi wanajua nini kinafanyika na hivyo tuiache serikali ifanye uchunguzi wakichakachua tukutane mahakamani!
   
 6. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #6
  Mar 14, 2013
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  this saga will end in two weeks to come-hii ni kulingana na saikolojia ya jambo jipya
   
 7. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #7
  Mar 14, 2013
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 145

  It so easy to blame CHADEMA; Kwanini CCM hadi LEO haijatoa HABARI kuhusu KUPIGWA kwa yule Docta? na Waliunda TUME imeishia wapi? TUME kibao... Sasa Unataka CHADEMA waunde TUME PIA???
   
 8. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #8
  Mar 14, 2013
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,615
  Likes Received: 402
  Trophy Points: 180
  Kwa hii Saga naona chadema ipo imara so kete ya magamba ni hii singo so HAWATAWEZA TENA KUIBUA UWONGO WOWOTE zaidi ya kufanya mauaji ya wapinzani kwa ajali za kutengeneza ama risasi
   
 9. Chakaza

  Chakaza JF-Expert Member

  #9
  Mar 14, 2013
  Joined: Mar 10, 2007
  Messages: 24,661
  Likes Received: 24,589
  Trophy Points: 280
  Mkuu sijui kama umenisoma vema. Sii kuwa nailaumu Chadema au kuitaka iunde tume.
  Katika ulimwengu wa sasa upelelezi binafsi upo na unatambulika kisheria kama vile serikali ilivyo leta wapelelezi toka FBI kusaidia kuchunguza mauaji ya Padre Zanzibar.
  Chadema wanajua kabisa kuwa kama huu mchezo umechezwa na CCM kwa malengo yao, basi msaada katika uchunguzi huo haupo zaidi ya kugandamizwa ili malengo ya clip hiyo yatimie.
  Wanapashwa nao kukodi wachunguzi wa kimataifa kufuatilia ukweli wa clip hiyo iliyowekwa Youtube.
   
 10. F

  FRGR Senior Member

  #10
  Mar 14, 2013
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 128
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  sasa atakanushaje wakati ameshikiliwa na polisi kwa zaidi ya saa24 sasa?..
   
 11. m

  musa ndile Senior Member

  #11
  Mar 14, 2013
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 105
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Chakaza
  Today 18:03
  #1 [​IMG] [​IMG] JF Senior Expert Member Array


  Join Date : 10th March 2007
  Location : everywhere
  Posts : 3,173
  Rep Power : 1390
  Likes Received638
  Likes Given425


  [h=2][​IMG] CHADEMA Igharamie uchunguzi Binafsi Kuhusu Clip ya video iliyotolewa[/h]
  Nimefuatilia kwa makini sakata hili la video ya uchochezi iliyotolewa kwenye mtandao na kuchukuliwa kwa uzito wa juu na kasi ya ajabu na jeshi letu la Polisi.Pia tamko la CHADEMA kupitia katibu wake mkuu.

  Kwa muono wangu hili jambo sio zuri kwa pande zote, kama alivyosema Slaa kuwa mkanda "umepikwa" nadhani hiyo haitoshi maana wapinzani wao na Polisi yao wanaweza kukomaa kuwa kwa uchunguzi wao ni kuwa mkanda ni wa kweli.

  Lakini hata kwa CCM na serikali yake kama itadhibitika mkanda umechakachuliwa hilo litakuwa pigo la mwisho kwa tuhuma kuwa kuna mkono wa serikali katika matukio yote ya aina hiyo yanayotokea.

  Nawashauri CHADEMA wasiishie kusema wanasubiri kesi ipelekwe mahakamani pekee,maana hata kesi kuwa mahakamani inaweza chukua hata miaka mitatu na huku propaganda chafu zikiendelea na imani ikitoweka kwa wale ambao uelewa wao wa masuala ya tekinolojia hii ni mdogo( Ambao ni wengi sana miongoni mwetu)

  CHADEMA wagharamie kwa uwazi kuweka wapelelezi hata wa nje wanaofanya kazi kisheria na wenye uwezo wa kungamua nini kimefanyika na kutoa taarifa ya wazi kwa jamii ya Kitanzania na hata nje ya nchi ili watawala wetu wafahamike wanafanya nini katika nchi inayopigiwa upatu kuwa ni ya Amani.

  Kila jambo jema lina gharama yake. ​
  ushauri mzuri sana huu ni kweli we shall do tht
   
 12. S

  Savannah JF-Expert Member

  #12
  Mar 14, 2013
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 238
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  CCM ni janga la taifa.
   
 13. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #13
  Mar 14, 2013
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 145
  R U Really SERIOUS? CHADEMA Ikodishe WACHUNGUZI wa KIMATAIFA wao KAMA NANI? Hawana DOLA; Tangu lini CHama cha UPINZANI kikaitisha Wachunguzi toka NJE ya nchi? Hiyo itakuwa ni sawa na kuleta Jeshi toka Nje kwa CHAMA PINZANI... Sio rahisi kama Chama Tawala chenye Serikali... WOW kweli tutafika???
   
 14. Smartboy

  Smartboy JF-Expert Member

  #14
  Mar 14, 2013
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 1,111
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Naunga mkono.
   
 15. utaifakwanza

  utaifakwanza JF-Expert Member

  #15
  Mar 14, 2013
  Joined: Feb 1, 2013
  Messages: 14,101
  Likes Received: 1,714
  Trophy Points: 280
  Kwanini tunaitaja sana ccm hapa wakati video inamuonesha kiongozi wa chadema?
   
 16. Simba mnyama

  Simba mnyama JF-Expert Member

  #16
  Mar 14, 2013
  Joined: Jul 14, 2012
  Messages: 348
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wazo zuri. Naunga mkono!
   
 17. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #17
  Mar 14, 2013
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,413
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  ....ukweli ni kwamba hata wale wanao amini wanaamini huku myoyo yao ikiwa inaamini si clip ya kweli bali ni mapishi ya kiteknolojia,...
   
 18. kibogo

  kibogo JF-Expert Member

  #18
  Mar 14, 2013
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 9,566
  Likes Received: 888
  Trophy Points: 280
  Tunaitaja CCM kwa nukuu ya Kauli ya Kiongozi wa CCM Lameck Mkombo (AKA Mwigulu) kuwa ana video inayoonyesha mipango na njama za Viongozi wa CDM wakipanga mauaji.
   
 19. utaifakwanza

  utaifakwanza JF-Expert Member

  #19
  Mar 14, 2013
  Joined: Feb 1, 2013
  Messages: 14,101
  Likes Received: 1,714
  Trophy Points: 280
  Mawazo mufilisi kabisa. Tangu lini chama kinakodisha watu kutoka nje kuja kuchunguza matukio ndani ya nchi
   
 20. g

  good2015 JF-Expert Member

  #20
  Mar 14, 2013
  Joined: Feb 4, 2013
  Messages: 888
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kama mnaona sio kweli leteni cd ingine ikionyesha akiwa amekaa kama alivyoonekana akizungumza kitu kingine, otherwise magwanda kwisha habari yenu.
   
Loading...