CHADEMA angalieni uvunguni mwa kitanda

CHADEMA angalieni uvunguni mwa kitanda

Lucho

Member
Joined
Jan 16, 2013
Posts
37
Reaction score
9
Majibu ya maswali milioni yamekaa kimtego mtego kila ukijaribu kupata jibu la swali moja swali jingine linajitokeza, Zitto? Ben Saanane,Mwampamba? Lwakatare? unganisha dots hapo utapata jibu la jumla kuwa mchezo hapo upo ndani ya chama wengine wanasingiziwa (CCM, Polisi .TISS) tu kuondoa attention. Ushauri kwa CHADEMA swala ili msilichukulie kichwa kichwa mjichunguze pia ndani ya chama kwanina vyojua unapoweka mikakati weakness part yako ni muhimu kuitambua ili iwe strength kwenye utekelezaji na CHADEMA kwa hakika kuna kitu ndani ya chama hakipo sawa.

Nafikiria tu loudly labda Zitto ndio tatizo ndani ya CHADEMA? Tatizo lake nini hasa? Je ni nia yake ya kugombea uenyekiti kwenye uchaguzi uliopita? Au nia yake aliyotangaza ya kugombea Urais? Pengine Slaa ndio tatizo? Mtanzania mwenzangu tafakari kwa makini kwani matatizo haya yanatuathiri wote,watu wanaumizwa,wengine wanauawa(?).

Tamaa ya watanzania kupata muelekeo mpya wa kiuchumi kupitia cdm inatoweka taratibu hili kwangu mimi ni tatizo kubwa zaidi nilitamani sana mawazo mapya ambayo yatatutoa kwenye umaskini usio na sababu na kutuweka juu kiuchumi kwenye ramani ya Dunia kwani kila kitu tunacho isipokuwa siasa safi,ambayo nilitegemea kuipata toka CHADEMA, lakini wapi kila siku tukio hasi. CHADEMA tafadhali tuchukueni hatua na msafishe nyumba yenu.TENGENEZENI AMANI NA KUAMINIANA
 
Mhhhh....

11971226261305296093valessiobrito_Hoof_of_Green_Turtle.svg.hi.png

Gamba liko kazini!!!!!!
 
Lazma mjue jumuia zote za watu watu hawez wote kuelewana ukiwa na mtazamo wa mbal na kuona utapata picha nying.mfano mdogo yanga na simba kwann migogoro hutokea je ndan ya simba kuna wana simba kwel au?je yanga kuna wana yanga kwel au!?so vyama navyo wapo wenye moyo na wapo wale wako ki maslah na utawajua tu kwa kuwaangalia japo wana maneno matam sana.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Wewe unatoa ushauri kwa viongozi wa CHADEMA kama nani wakati wao kwa wao neno ushauri liko kwenye kamusi, na pale unapofanyika, basi unafanywa kwa kunyemeleana.
 
Majibu ya maswali milioni yamekaa kimtego mtego kila ukijaribu kupata jibu la swali moja swali jingine linajitokeza,Zito?Ben saa8,Mwampamba?Lwakatare? unganisha dots hapo utapata jibu la jumla kuwa mchezo hapo upo ndani ya chama wengine wanasingiziwa (ccm, polisi .Tiss) tu kuondoa attention. Ushauri kwa CDM swala ili msilichukulie kichwa kichwa mjichunguze pia ndani ya chama kwanina vyojua unapoweka mikakati weakness part yako ni muhimu kuitambua ili iwe strength kwenye utekelezaji na CDM kwa hakika kuna kitu ndani ya chama hakipo sawa.

Nafikiria tu loudly labda Zitto ndio tatizo ndani ya CDM?tatizo lake nini hasa?
Je ni nia yake ya kugombea uenyekiti kwenye uchaguzi uliopita?au nia yake aliyotangaza ya kugombea Urais?

Pengine Slaa ndio tatizo?mtanzania mwenzangu tafakari kwa makini kwani matatizo haya yanatuathiri wote,watu wanaumizwa,wengine wanauawa(?).

Tamaa ya watanzania kupata muelekeo mpya wa kiuchumi kupitia cdm inatoweka taratibu hili kwangu mimi ni tatizo kubwa zaidi nilitamani sana mawazo mapya ambayo yatatutoa kwenye umaskini usio na sababu na kutuweka juu kiuchumi kwenye ramani ya Dunia kwani kila kitu tunacho isipokuwa siasa safi,ambayo nilitegemea kuipata toka CDM,lakini wapi kila siku tukio hasi.Cdm tafadhali tuchukueni hatua na msafishe nyumba yenu.TENGENEZENI AMANI NA KUAMINIANA

Hapo kwenye blue,
Maoni yako hayatofautiani sana na maoni ya William Malecela ambaye aliandika hivi kwenye face book yake....
Angalia hapa alichoandika, na wewe ume-copy tu na ku-paste...
Angalia hapo kwenye red text...

@ LE MUTUZ STRAIGHT TALK!!: Leo kuna habari njema sana kwetu CCM, kwamba Mwenyekiti wa Chadema ameamua kujitoa kugombea Urais 2015, so I told you OUR OPERATION CHAOS is working kwani our never ending online attacks zimemfanya ajipime, ok now one more to go, next on line ni Dr. Slaa, naye ni lazima ajitoe kugombea ili our best interest Zitto ndiye awe mgombea wao 2015!

- NILIWAAMBIENI HAWA HAWANA MGOMBEA URAIS 2015,
SO SASA WALE WOTE TUNAOSHIRIKIANA KUWADHOOFISHA KWA KUTUMIA MITANDAO TUZIDISHE MASHAMBULIZI KAMA ILIVYO SASA, NINALO BOMU MOJA LA KIONGOZI WAO MMOJA MAARUFU KUTAKA KUMBAKA DEMU MMOJA MAJUU NA KESI IPO MAHAKAMANI NA DOCUMENTS ZIPO, INA MAANA HUYU AKIPEWA KUGOMBEA CHADEMA AKAPATA URAIS HATARUHUSIWA KWENDA HIYO NCHI, SASA TUTAKUWAJE NA RAIS AMBAYE NI LIMITED KWENYE INTERNATINIONAL COMMUNITY? SAAFI SANA MHESHIMIWA MBOWE KWA KUJIPIMA NA KUACHIA NGAZI SASA MSHAURI NA MWENZAKO SLAA AJIPIME!!

KIDUMU CCM!

KIDUMU CHAMA TAWALA!!

HA! HA! HA! HA!

- LE MUTUZ!!
 
Majibu ya maswali milioni yamekaa kimtego mtego kila ukijaribu kupata jibu la swali moja swali jingine linajitokeza,Zito?Ben saa8,Mwampamba?Lwakatare? unganisha dots hapo utapata jibu la jumla kuwa mchezo hapo upo ndani ya chama wengine wanasingiziwa (ccm, polisi .Tiss) tu kuondoa attention. Ushauri kwa CDM swala ili msilichukulie kichwa kichwa mjichunguze pia ndani ya chama kwanina vyojua unapoweka mikakati weakness part yako ni muhimu kuitambua ili iwe strength kwenye utekelezaji na CDM kwa hakika kuna kitu ndani ya chama hakipo sawa.

Nafikiria tu loudly labda Zitto ndio tatizo ndani ya CDM?tatizo lake nini hasa?Je ni nia yake ya kugombea uenyekiti kwenye uchaguzi uliopita?au nia yake aliyotangaza ya kugombea Urais?Pengine Slaa ndio tatizo?mtanzania mwenzangu tafakari kwa makini kwani matatizo haya yanatuathiri wote,watu wanaumizwa,wengine wanauawa(?).

Tamaa ya watanzania kupata muelekeo mpya wa kiuchumi kupitia cdm inatoweka taratibu hili kwangu mimi ni tatizo kubwa zaidi nilitamani sana mawazo mapya ambayo yatatutoa kwenye umaskini usio na sababu na kutuweka juu kiuchumi kwenye ramani ya Dunia kwani kila kitu tunacho isipokuwa siasa safi,ambayo nilitegemea kuipata toka CDM,lakini wapi kila siku tukio hasi.Cdm tafadhali tuchukueni hatua na msafishe nyumba yenu.TENGENEZENI AMANI NA KUAMINIANA

Hapo kwenye blue,
Hebu tuache porojo na tuangalie ukweli wa mambo ulivyo.
Hebu angalia picha hizi hapa kuhusu mauaji halafu useme kama tatizo ni Dr. Slaa au Polisi !!
Unakumbuka picha hizi ???
attachment.php
 

Attachments

  • Mwangosi.jpg
    Mwangosi.jpg
    38.6 KB · Views: 1,671
Hawashauriki hawa, wataishia kukutukana na kukukejeli tu.

Angalia ushauri huu hapa toka kwa 'bosi' wenu wa kampeni za ghasia dhidi ya Chadema.
Huyu anaitwa Willian Malecela (Le Mutus).
Soma hapa jinsi anavyoendesha 'Operation Chaos' (yaani operasheni ya ghasia).
Unajua kusoma ??
Basi soma hapa !!!!

ZeMarcopolo, majebere, na Lucho mpo hapo ??


@ LE MUTUZ STRAIGHT TALK!!:
Leo kuna habari njema sana kwetu CCM, kwamba Mwenyekiti wa Chadema ameamua kujitoa kugombea Urais 2015, so I told you OUR OPERATION CHAOS is working kwani our never ending online attacks zimemfanya ajipime, ok now one more to go, next on line ni Dr. Slaa, naye ni lazima ajitoe kugombea ili our best interest Zitto ndiye awe mgombea wao 2015!

- NILIWAAMBIENI HAWA HAWANA MGOMBEA URAIS 2015, SO SASA WALE WOTE TUNAOSHIRIKIANA KUWADHOOFISHA KWA KUTUMIA MITANDAO TUZIDISHE MASHAMBULIZI KAMA ILIVYO SASA, NINALO BOMU MOJA LA KIONGOZI WAO MMOJA MAARUFU KUTAKA KUMBAKA DEMU MMOJA MAJUU NA KESI IPO MAHAKAMANI NA DOCUMENTS ZIPO, INA MAANA HUYU AKIPEWA KUGOMBEA CHADEMA AKAPATA URAIS HATARUHUSIWA KWENDA HIYO NCHI, SASA TUTAKUWAJE NA RAIS AMBAYE NI LIMITED KWENYE INTERNATINIONAL COMMUNITY? SAAFI SANA MHESHIMIWA MBOWE KWA KUJIPIMA NA KUACHIA NGAZI SASA MSHAURI NA MWENZAKO SLAA AJIPIME!!

KIDUMU CCM!

KIDUMU CHAMA TAWALA!!

HA! HA! HA! HA!

- LE MUTUZ!!
 
Last edited by a moderator:
Rais Bora atatoka CCM- Hayati Julius Kambarage Nyerere (1922-1999).
 
Hapo kwenye blue,
Hebu tuache porojo na tuangalie ukweli wa mambo ulivyo.
Hebu angalia picha hizi hapa kuhusu mauaji halafu useme kama tatizo ni Dr. Slaa au Polisi !!
Unakumbuka picha hizi ???
attachment.php


Kuna watu huwa hawatumii akili kufikiri mambo yanajieleza wazi kabisa harafu mtu mwingine anapiga mayowe Chadema Chadema
Hao Police ni wa Chadema?:shut-mouth:
 
Hukumbuki kuwa magufuli aliongezewa ulinzi kwa kuwa aliwgusa mafisadi? Je, hukumbuki kuwa hata sita aliingia matatani kwa kusimamia bunge ipasavyo? Ama hujui kuwa Mwakyembe alimwandikia barua igp akiwataja hadi watu waliofuatilia maisha yake?

Hujui kuwa Imrani Kombe alitwanga bullets live mbele ya my wife wake? Ama wewe hujui kuwa Dr salim ahmed salim kwa mujibu wa ccm 2005 si raia wa tanzania na pia yeye ndo aliyemuua hayati Karume?

KIKUBWA JAMANI ACHENI HATUA HII IPITE LAKINI HAITAWEZEKANA KUFANYA MADUDU SIKU ZOTE: NINACHOAMINI NI HIVI, MNAWEZA MKAZUIA VYOVYOTE VILE CDM AU UPINZANI USISHIKE DOLA LAKINI LAZIMA MUNGU ATAINUA MTU HATA NDANI YA CCM ATAKAYEWATIGHT NYIE MNAODHANI USALAMA WENU NI KUTESA WATU BADALA YA KUTENDA MEMA. MUNGU ANAYAJUA MAOVU YENU!
 
Mhhhh....

11971226261305296093valessiobrito_Hoof_of_Green_Turtle.svg.hi.png
Mimi sio mchoraji lakini hebu jaribu kuchora nyoka wa kijani mwenye vichwa viwili, akijaribu kujivua gamba na sasa gamba limembana tumboni na halitaki kutoka. Mwenyekiti wa CCm taifa ndio muasisi wa mkakati wa kujivua Gamba. Baadaye akasema kuwa CCM ni kama nyoka wa vichwa viwili. Nape akazunguika nchi nzima kuhubiri juu ya kujivua gamba kwa mapacha watatu. Baada ya mmoja kujivua, Chenge akatokea hadharani akidai kuwa gamba limekwamia katikati, halivuliki. Baadaye Nape akasema kuwa kujivua gamba sio kuwafukuza walarushwa ndani ya chama, bali ni kuzuia wasiendeleze rushwa ndani ya chama. Gamba limekwamia tumboni!!
 
Hata usipoangalia mvunguni mwa kitanda mbona iko wazi sana tu kuwa ni vita vya kisiasa vinaendelea? serikali ya ccm inatake for granted nafasi yao katika kutawala! vyombo vya dola vinatumika-polisi, sheria na sometimes jeshi (jw) katika kuhakikisha tu wanafanikiwa.

Kuna mikakati mingi sana ya uovu inaendelea ambayo hatimaye mingine inazaa vifo vya watu mbalimbali, bila hofu kwa wapikaji wa hayo matukio kwa kisingizio kuwa strategy wanazotumia wananchi hawawezi kuzing'amua, kupandikiza kwa wingi mamluki alimradi lengo lao lifanikiwe.

Ngoja niwaambie kitu wote walioungana kufanya mambo maovu huku wakiamini kuwa wamejificha au wamefanikiwa kuwabambika wengine ndio waonekane wametenda. Bado kitambo kidogo tu, na haijalishi mtu ameungana na mke wake, mwanae au kikundi chochote kutenda maovu yakiwemo mauaji, si muda mrefu watapokea malipo yao.

Hakuna mwanadamu yeyote atakayehusika kuwadhuru, ila kuna principle ina applicable kwa watu wanaoungana kwa uovu, hawafiki mwisho wakiwa wamoja vile, lazima watageukana tu, kwa sababu hakuna kati yao anayemwamini mwingine, wataviziana au kugeukiana kwa hofu ya kutomwachia mwenzio akuattack, maana wanajuana, mtakuja kuniambia. Mungu atujalie uzima tuje kuona na kushuhudia hayo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom