Propaganda is a backbone of CCM

Propaganda is a backbone of CCM

Nara

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2009
Posts
1,067
Reaction score
297
Unajua ukitaka kujua tambala la kudekia kama lina maji kiasi gani likamue.

Nasema hivi kwa sababu ya matukio yanayoendelea na kuwa propagated na CCM na wajukuu zake.

Kwa hili tukio la video ya Lwakatare napenda kutoa wito kwa CHADEMA na viongozi wake kuwa sasa hivi mmegusa the backbone ya CCM. Kama kuna kitu au silaha au mbinu ambayo CCM imekuwa ikiitumia vizuri sana ni mbinu za vitisho na propaganda ili kunyamazisha watu, na watu wengi sana wamenyamazishwa.

Sasa basi kama kunaswala ambalo CHADEMA inabidi itumie inteligensia ya hali ya juu basi ni hili, ikiwezekana hata kupeleka watu wakasomee kule kwa MOSSAD Israel ilikuweza kukabiliana na hawa walikuwa wanajiita wanamapinduzi.

Na pia katika hili, hakuna kuyumba hakuna kutahayuri, tunasimamia principles zile zile, wananchi kwanza!!

Kila mtu katika vijiji vya Tanzania wanatakiwa wasikie hili kutoka kwenu, na siyo chama kingine.
 
Hapana mkuu CCM huwa wanatumbia mbinu ya kuua watu sio kutisha tu kutishika kunakuja kama second derivative ya kifo..Hiyo ndo njia na kiwango cha juu cha CCM kujificha hivyo kwa kuwa Kifo hakitamwacha mtu aishi milele nachelea kusema ni njia dhaifu ikitumika wakati watu wapo kwenye munkari wa kutisha na ambao nategemea utakuwepo 2015 watakapo kataa kukabidhi nchi kwa CHADEMA kama alivopata kutamka JK mwenyewe..

Watu tumieni mauti kuiondoa CCM madarakani maana kifo hakitakuacha hata kama ukikiogopa na tutalaumiwa na watoto wachanga ambao wapo tayari kufa kwa ajili wa ya sisi wazee
 
Sasa basi kama kunaswala ambalo CDM inabidi itumie inteligensia ya hali ya juu basi ni hili, ikiwezekana hata kupeleka watu wakasomee kule kwa Mossad Israel ilikuweza kukabiliana na hawa walikuwa wanajiita wanamapinduzi..

Hapo kwenye RED.
Mku, hivi unafahamu tafsiri na implication nchini katika macho ya sheria kwa kufanya unavyopewa wafanye.

Ninatumaini utakuwa umeandika kwa kuandika tu lakini siyo kuandika ukiimanisha ulichokiandika.
 
The Mossad (Hebrew: המוסד‎, IPA: [ha moˈsad]; Arabic: الموساد‎, al-Mōsād; literally meaning "the Institute"), short for HaMossad leModiʿin uleTafkidim Meyuḥadim (Hebrew: המוסד למודיעין ולתפקידים מיוחדים‎, meaning "Institute for Intelligence and Special Operations"; Arabic: الموساد للاستخبارات والمهام الخاصة‎ al-Mōsād lil-Istikhbārāt wal-Mahāmm al-Khāṣṣah), is the national intelligence agency of Israel. It is one of the main entities in the Israeli Intelligence Community, along with Aman (military intelligence) and Shin Bet (internal security).
The Mossad is responsible for intelligence collection, covert operations, and counterterrorism, as well as bringing Jews to Israel from countries where official Aliyah agencies are forbidden, and protecting Jewish communities. Its director reports directly to the Prime Minister.
 
hapo kwenye red.
Mku, hivi unafahamu tafsiri na implication nchini katika macho ya sheria kwa kufanya unavyopewa wafanye.

Ninatumaini utakuwa umeandika kwa kuandika tu lakini siyo kuandika ukiimanisha ulichokiandika.

sasa kila kitu kinachoongelewa na upande ambao sio ccm ni basi ni balaa, vitisho mbele, am sure angesema hivyo mwigulu ungesupport bila shaka. Hamna issue ya ajabu katika kilichoandikwa hapo, wala sio kitu cha kuogopesha, kukuza jambo dogo lionekane kubwa sio vizuri. Kila mtu anapaswa kufanya mambo ambayo yatamrahishia kazi yake. Ccm wametengeneza green guard na mnaona sawa tu, na wanawadhuru watu bila utani na hamkemei, mwogopeni mungu nyie watu
 
Unajua huyu Ng'wamapalala anadhani hivi vitu ni vigeni, hizo sheria unazozizungumzia sijue sheria gani,sheria zenyewe hazitutendei haki, alafu kila mtu anazake mfukoni. Hivi huyu inaonekana bado hajafunguka akili eeh?

Alafu unaogopa Mossad, yeye akalagebao tu, intelligence itatafutwa kwa kila njia mpaka kieleweke. Sheria sheria, sheria gani, umeitunga yeye kijijini kwake?

Kwa taharifa yake, kama tukisema tutafute standard ya nchi duniani kama anavyotaka yeye basi TZ ni koloni tu bado, haina qualification zakutosha kuwa nchi, ndo maana mtu anaweza kula kodi tu wengine wanamwaangalia!!
 
Hapo kwenye RED.
Mku, hivi unafahamu tafsiri na implication nchini katika macho ya sheria kwa kufanya unavyopewa wafanye.

Ninatumaini utakuwa umeandika kwa kuandika tu lakini siyo kuandika ukiimanisha ulichokiandika.

Kwani nini cha ajabu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom