Kwanini haya yanatokea katika serikali ya awamu ya nne?

Kwanini haya yanatokea katika serikali ya awamu ya nne?

Kakende

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2012
Posts
2,741
Reaction score
1,233
Hivi katika awamu ya Serikali ya nne kuna tatizo gani la kiufundi haya yametokea?

1. Tanzania ni nchi ya pili Afrika mashariki kwa ufisadi na rushwa baada ya Uganda. Uganda iko mbele ya Tanzania kwa point moja tu, mwaka huu uenda tukakamata namba moja

2. Wanafunzi kujiunga kidato cha kwanza wakiwa hawajui kusoma wala kuandika

3. Wanafunzi wanaofaulu sasa ni wale wenye sifuri

4. Tanzania ni nchi ya tatu kwa kupokea misaada baada ya Afganistani na Iraq

5. Watu kutekwa na kung'olewa Kucha

6. Udini wa waziwazi
 
Mafundi mitambo wa serikali wameamua kuitoa relini serikali ndio maana unaona mihemko na mitetemo ya hapa na pale,2015 tutairejesha kwenye barabara yake,Make sure unapiga kura na kulinda Kura.
 
Kamati ya Utendaji ya Padri wa Zamani na katibu wa Zamani wa Baraza la Maaskof anaeforce kuwa Rais inajitahidi sana kupambana na Chaguo la Mungu wa Methodius Kilaini kwa kuleta kila hoja ya kutunga kutimiza malengo yake, Tanzania bila ya Babu inawezekana!
 
Hivi katika hawamu ya Serikali ya nne kuna tatizo gani la kiufundi haya yametokea?

1. Tanzania ni nchi ya pili Afrika mashariki kwa ufisadi na rushwa baada ya Uganda. Uganda iko mbele ya Tanzania kwa point moja tu, mwaka huu uenda tukakamata namba moja

2. Wanafunzi kujiunga kidato cha kwanza wakiwa hawajui kusoma wala kuandika

3. Wanafunzi wanaofaulu sasa ni wale wenye sifuri

4. Tanzania ni nchi ya tatu kwa kupokea misaada baada ya Afganistani na Iraq

5. Watu kutekwa na kung'olewa Kucha

6. Udini wa waziwazi

.
Kwa sababu akili kubwa zilikubali na kuridhia kukabithi hatma yao kwa akili ndogo.
.
 
ni kwa sababu wewe umeshindwa kuyadhibiti unalalamika kimya kimya, anza sasa uone matokeo mazuri
 
Kamati ya Utendaji ya Padri wa Zamani na katibu wa Zamani wa Baraza la Maaskof !

tatizo viazi wote ni ma-alhaji, alhaji Kikwete, alhaji Bilali Mikasi, alhaji Shein, alhaji Seif, alhaji Id, alhaji Kova, alhaji Bulembo, alhaji Kinana, etc
 
"knowledge will always govern ignorance" tatizo letu sisi tumeruhusu ignorance to govern knowwledge
 
Tanzania bila magamba inawezekana!dr.SLAA NDIYE RAIS WA TANZANIA!peoples power!
 
tatizo viazi wote ni ma-alhaji, alhaji Kikwete, alhaji Bilali Mikasi, alhaji Shein, alhaji Seif, alhaji Id, alhaji Kova, alhaji Bulembo, alhaji Kinana, etc

we utakuwa umesoma Seminary na Guardian wako alikuwa Padri so ilibidi upelekwe Hospital ulivotoka shule ili usafishwe!
 
+Alhaji Said Mwema: kweli safu ya uongozi wa awmu hii ni janga la kitaifa!
wachi.nja nyama wamekamata....!
we utakuwa umesoma Seminary na Guardian wako alikuwa Padri so ilibidi upelekwe Hospital ulivotoka shule ili usafishwe!
 
Back
Top Bottom