Taarifa ya Jaji Manento ilifafanua kuwa "kamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa, Michael Kamuhanda Septemba 2 mwaka janakatika utekelezaji wa majukumu yake alikiuka Sheria ya vyama vya siasa (Cap 258RE. 2002) kifungu cha 11(a) na (b) na sheria ya Polisi (Sura ya 322) kwakuingilia kazi za OCD wa Mufindi na kutoa amri ya kuzuia shughuli za CHADEMAwakati yeye hakuwa "Officer In-charge" wa polisi wa eneo husika.
Kwa maana hiyo amri aliyoitoa haikuwahalali kwa kuwa ilitolewa na mtu ambaye hakuwa na mamlaka kisheria kutoa amrihiyo. Haya ni matumizi mabaya ya mamlaka, hivyo ni ukiukwaji wa misingi yautawala bora".
Tume hiyo ya kudumu ya haki na utawalabora inamtaja Michael Kamuhanda kama mhusika mkuu wa usababishaji wa mauaji yaMwangosi na kuwa kutokana na uvunjaji wa wazi wa sheria vyombo vilivyojuu yakevinatakiwa kumchukulia hatua ikiwemo kuondolewa kazini na kufikishwa mahakamanikwa matumizi mabaya ya madaraka.
Niyeye aliyetoa amri ya kulipua mabomu ya machozi eneo lile, ambalo mojawapondilo linalodaiwa kumlipua Mwangosi. "RPC aliamuru kupigwa kwa mabomu yamachozi ili kuwatawanya wananchi waliokusanyika katika ofisi za tawi hilo laCHADEMA" amesema Jaji Manento. Lakini hadi sasa hajachukuliwa hatua zozotepamoja na tume hiyo ya serikali ya jamhuri ya Muungano kutoa ripoti hiyo