Huo mwaka hata jk hajawa rais wacha uwongohuyu JK wakati wa kampeni mwaka elfu mbili na kumi alisema zaidi ya mara kumi akiwa dar kuwa tatizo la maji kuwa historia hapa dar ifikapo mwaka 2003
Kwanza ni upumbavu kuweka kauli mbiu kwamba maji ni uhai halafu ukasubiri watu wadai uhai huo!CCM bwana sijui nani aliwaumba..hii ni baada ya kuchachafya kwa kasi na mbunge mnyika kule bungeni.sasa jk anasema wataruhusu sekta binafsi kuwekeza kwenye sekta ya maji.
huyo ndio bwana zaifu.kwanza ni upumbavu kuweka kauli mbiu kwamba maji ni uhai halafu ukasubiri watu wadai uhai huo!ccm bwana sijui nani aliwaumba..
Na sijiu huwa wanaenda shule tunazosoma wengine au ni nyinginezo?
Rais hajui kwamba watu wake wanataka maji?!
JK akiwa lindi,ametangaza kuruhusu sekta binafsi kuzalisha na kusambaza maji safi na salama kwa wakazi wa mahali popote!Pia mamlaka ZA MAJI ziweze kujitafutia MITAJI NA KUWEKEZA KATIKA SEKTA YA MAJI.kuanzishwa kwa mfuko wa maji.Sasa sijui sheria hizi zikienda bungeni walewale waliozipinga kujadiliwa watapiga kura kwa ushabiki wa CCM au?hii ni aibu klwa spika na bunge lake
Ngoma inogile