Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,965
- 166,362
Kuna msemo usemao"ukicheka na nyani ,utavuna mabua".Hii ndio CCM ya leo!
Chama hiki ni kama hakijitambui!Mtu mmoja kwasababu tu katiba inampa madaraka makubwa wao wamebaki kumwangalia tu afanya anavyotaka!CCM ya leo hakuna wa kumkemea!Hapa ndio pengo la baba wa taifa linapojidhihirisha.
Kumbukeni mwenzenu anastaafu na ataendelea kula pensio yake nono kama kiongozi mstaafu.Kazi kwenu!
Hata hivyo,huu "ugoi goi"wenu ndio mtaji wetu sisi wapenda mabadiliko.
Nchi inaendeshwa kanakwamba ni mali au ni kampuni ya mtu binafsi!
Mko tu mnachekacheka na kujipendekeza!