Katibu wa CHADEMA Nyamagana ahamia CCM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Katibu wa CHADEMA Nyamagana ahamia CCM

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Endeleaaa, Oct 28, 2010.

 1. Endeleaaa

  Endeleaaa JF-Expert Member

  #1
  Oct 28, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 1,227
  Likes Received: 319
  Trophy Points: 180
  Hiyo ni Breaking News StarTv, Mlioko Mwanza tuelezeni ukweli wa mambo
   
 2. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #2
  Oct 28, 2010
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 8,999
  Likes Received: 582
  Trophy Points: 280
  Katibu wa CHADEMA wilayani Nyamagana bi zaitun amekabizi kadi ya chama hicho leo kwenye mkutano wa kampain wa mgombea ubunge wa jimbo hilo bwana Masha.

  source; star tv asaiv
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Oct 28, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Hana akili!

  Na kwa ushenzi Jimbo hilo ni la upinzani, atatia akilini watu wakiingia Ofisini!
   
 4. Nicky82

  Nicky82 JF-Expert Member

  #4
  Oct 28, 2010
  Joined: Mar 14, 2009
  Messages: 939
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mwache aende....hataleta mabadiliko yoyote,, watu wa Nyamagana wameshaamua Wenje ndio chaguo lao
   
 5. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #5
  Oct 28, 2010
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  hahahaaaah Masha too let
   
 6. rmashauri

  rmashauri JF-Expert Member

  #6
  Oct 28, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 3,008
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Kama ni kweli basi si bure, lazima atakuwa amekamatishwa mulungula na mafisadi wa CCM. Kwa maana Masha anahaha, kiti ni cha moto.
   
 7. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #7
  Oct 28, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Kama vile tulivyomuaga Nakaaya kwa heri na fanaka hapa JF, huyu naye tunamtakia kila la heri
   
 8. Meale

  Meale Member

  #8
  Oct 28, 2010
  Joined: Nov 24, 2009
  Messages: 92
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Njaa hizi zitatumaliza jamani.
   
 9. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #9
  Oct 28, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180

  Did you find this post helpful? [​IMG] | [​IMG]
  [​IMG] Katibu wa chadema nyamagana ahamia ccm

  Katibu wa CHADEMA wilayani Nyamagana bi zaitun amekabizi kadi ya chama hicho leo kwenye mkutano wa kampain wa mgombea ubunge wa jimbo hilo bwana Masha.

  source; star tv asaiv
  Nyie vp mbona mwatuchanganya?
   
 10. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #10
  Oct 28, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Nimesikia taarifa katika kituo cha star tv jioni hii kuwa "katibu" wa chadema wilaya ya nyamagana amehama na kujiunga na ccm!

  Sababu ni kwamba sera za chadema hazitekelezeki.

  Ama kweli kila mtu anatafuta pa kula kwa sasa ma masha anajaribu kutafuta namna yoyote ile ili wana nyamagana waone kuwa chadema haifai,....

  swali ni kwamba,huyu mama kaenda kwa sababu kapewa "chakula" au ni kweli watu wa nyamagana twambieni?
   
 11. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #11
  Oct 28, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Tunamtakia kila la heri kokote kule aendako
   
 12. Nicky82

  Nicky82 JF-Expert Member

  #12
  Oct 28, 2010
  Joined: Mar 14, 2009
  Messages: 939
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  jamani ni m/kti au katibu.??? maana kuna jamaa hapa kapost kuwa ni mwenyekiti na yeye source yake ni star tv
   
 13. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #13
  Oct 28, 2010
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 8,999
  Likes Received: 582
  Trophy Points: 280
  amepotea njia, na uchaguzi ukiisha akijitia kurudi tunamchana na viwembe vyenye kutu. shenz type.
   
 14. Kishongo

  Kishongo JF-Expert Member

  #14
  Oct 28, 2010
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 932
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ni haki yake ya kikatiba kuchagua chama makini na kukipigia kura.
   
 15. Endeleaaa

  Endeleaaa JF-Expert Member

  #15
  Oct 28, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 1,227
  Likes Received: 319
  Trophy Points: 180
  Mkuu ni Katibu, Taarifa ilikuwa inakatika katika sana haikunaswa vyema
   
 16. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #16
  Oct 28, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Nasubiri kuona masha ataandika nini kwenye FB yake.
   
 17. Kagemro

  Kagemro JF-Expert Member

  #17
  Oct 28, 2010
  Joined: Jan 11, 2010
  Messages: 465
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
  nilijua wala hana impact.
   
 18. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #18
  Oct 28, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  bwa ha ha haha
   
 19. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #19
  Oct 28, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Njaa tuu nyuma ya pazia ukidodosa utaambiwa kapewa balloon na mijihera
   
 20. Endeleaaa

  Endeleaaa JF-Expert Member

  #20
  Oct 28, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 1,227
  Likes Received: 319
  Trophy Points: 180
  Angekuwa na akili angehama Jumamosi 30-10-2010, hivi sasa hizo taarifa sio tishio tena.
   
Loading...