Juliana Shonza amlipua Mbowe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Juliana Shonza amlipua Mbowe

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by security guard, Feb 19, 2013.

 1. s

  security guard JF-Expert Member

  #1
  Feb 19, 2013
  Joined: Sep 27, 2011
  Messages: 706
  Likes Received: 258
  Trophy Points: 80
  Katika nchi za Jumuiya ya SADC, Freeman Mbowe ndio kiongozi wa upinzani bungeni mwenye elimu ya form four(kidato cha nne).
  ndio mwenye elimu ndogo kuliko wote kiasi Juliana Shonza kushangazwa wakati wa mahojiano na Radio Uhuru FM, kama Dk.Slaa atakuwa Rais, Mbowe Waziri Mkuu ..basi Taifa litakuwa na Waziri Mkuu form four.......aibu nyingine hii mwenye taaluma ya UDJ!
   
 2. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #2
  Feb 19, 2013
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,514
  Likes Received: 474
  Trophy Points: 180
  Huyu Binti ni mwehu sana ..baada ya kutoka huko ndio ameyaona hayo ..mfa maji haishi kutapatapa
   
 3. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #3
  Feb 19, 2013
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,234
  Likes Received: 4,604
  Trophy Points: 280
  Kumekucha...
   
 4. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #4
  Feb 19, 2013
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,854
  Likes Received: 1,173
  Trophy Points: 280
  Juliana kasemaje kuhusu ndoa yake na Tambwe?
   
 5. S

  Sometimes JF-Expert Member

  #5
  Feb 19, 2013
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 4,568
  Likes Received: 359
  Trophy Points: 180
  Mzee Kawawa alikuwa na elimu gani wakati wa utawala wake? Au Shonza alikuwa bado hajazaliwa!
   
 6. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #6
  Feb 19, 2013
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 30,633
  Likes Received: 33,817
  Trophy Points: 280
  Hahaha! Binti anajazba baada ya kutimuliwa CDM kama mbwa mwizi.
  Nashukuru Mungu mmesadiki kuwa Dr. Slaa ndiyo rais ajaye.

  NB:
  CONDOM moja ni kwa kila tendo moja tu, sasa baada ya tendo hili matumizi yenu yatakuwa yameisha na tutawamis sana wasaliti.
   
 7. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #7
  Feb 19, 2013
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 145
  Tuna watu wana degree za kuunga unga ndani ya CCM na kuna wasomi wa kweli kwenye serikali ya CCM lakini Tanzania iko nyuma mno .Kuna wasomi kama yeye kama anaji hesabu kama msomi leo anachuma tumbo .Alishindwa hata kulipa karo ya shule nadhani sina hakika Chadema walimlipia .Sasa yeye hizi ndiyo sera kwa watanzania ? Jamani kweli huyu hata umande haujamsaidia .Lingana naye basi kwa lolote tuone na elimu yako .Paka mkubwa wewe
   
 8. Mark Francis

  Mark Francis Verified User

  #8
  Feb 19, 2013
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 605
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kwani kipindi Mbowe ni mwenyekiti wake alikua ana elimu ya chuo kikuu, mpaka leo ndo agundue kuwa ana elimu ya form 4?? Hana lolote huyo dada, yeye na elimu yake imemsaidia nini?
   
 9. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #9
  Feb 19, 2013
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,235
  Likes Received: 291
  Trophy Points: 180
  Na Elimu ya Kikwete ya Udaktari ina faida gani kwa Tanzania?....au kuchomeka kwa makanisa ndiyo ufanisi?
   
 10. M

  Miss Pirate JF-Expert Member

  #10
  Feb 19, 2013
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 307
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  mfamaji haachi kutapatapa. aachane na CHADEMA hi historia sasa maishani mwake
   
 11. activisty

  activisty JF-Expert Member

  #11
  Feb 19, 2013
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 315
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Juliana Juliana Juliana umeacha ulokole mdogo wangu?? Mama Shonza wa Mabibo Loyola analitambua hilo?? acha kutangatanga.
   
 12. mbinguni

  mbinguni JF-Expert Member

  #12
  Feb 19, 2013
  Joined: Jan 2, 2013
  Messages: 1,618
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Mbona huyu wa kwenu ana shahada ya udsm hata familia yake inamshinda kuiongoza?Wewe ni gamba.Huyo Shonza na umbo lake ni chakula ya wazee.
   
 13. mpogole

  mpogole Senior Member

  #13
  Feb 19, 2013
  Joined: Aug 25, 2008
  Messages: 167
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Tutolee mawazo ya takataka hiyo ,,,twamjua ni mnafiki msaliti mkubwa ananunuliwa na nape pamoja na mwigulu muulize lukuvi ana elimu gani??????
  Nape nauye aweke elimu yake twamjua kote alikosoma india alienda kufanya nini ??? Form four na six alipata ngapi??????lukuvi alimaliza la saba shule gani???? Na dr feki nchimbi ?????kawawa alikuwa na elimu hipi?????????
   
 14. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #14
  Feb 19, 2013
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 30,633
  Likes Received: 33,817
  Trophy Points: 280

  Its a last kick of dying donkey.
  Wait and see.
   
 15. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #15
  Feb 19, 2013
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 21,860
  Likes Received: 4,837
  Trophy Points: 280
  Andry Nirina Rajoelina born 30 May 1974, is the President of the High Transitional Authority of Madagascar. He became president on 21 March 2009 during a political crisis, having held the office of Mayor of Antananarivo for one year prior. Before entering the political arena, Rajoelina launched several successful enterprises, most notably including a printing and advertising company called Injet in 1999 and the Viva radio and television networks in 2007. He began his career as an entrepreneur in his teenage years, first as a DJ at local clubs and parties, and later by organizing and promoting musical events in the capital.
   
 16. F

  FJM JF-Expert Member

  #16
  Feb 19, 2013
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  CCM wawafunde hawa vibaka wao. Wataletea balaa. UDJ? Serikali ya CCM inatakiwa iwashukuru ma-DJ na wanywa pombe. Serikali inategemea wanywa pombe. Bila ya kodi ya pombe TRA inakufa, na kwa taarifa tu huyo binti anatakiwa kujuwa kuwa the biggest tax payer ni TBL. Chibuku analipa kodi kubwa kuliko makampuni ya simu.
   
 17. m

  mdoe the thinker Senior Member

  #17
  Feb 19, 2013
  Joined: Dec 11, 2012
  Messages: 104
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Katiba inaruhusu!hayo mengne ni wivu tu!akitaka tuseme yake tunayo mengi sana,ila hayana msaada wowote katika kujenga taifa letu,so ccm waache blabla nchi imeshawashinda hii!
   
 18. F

  FUSO JF-Expert Member

  #18
  Feb 19, 2013
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 11,008
  Likes Received: 1,448
  Trophy Points: 280
  send off yako lini dada?
   
 19. bullet

  bullet JF-Expert Member

  #19
  Feb 19, 2013
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 954
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 45
  Mbona Mbowe alisoma Ihungo Sekondari na kumaliza kidato cha sita? Na Hull Univeristy je aliendaje? I doubt ukweli wa huyu dada lakini muhimu si elimu ila uwezo. Hivi Jacob Zuma alimaliza darasa la ngapi? How many of Tanzanian politicians can match him? Aibu kwa wanasiasa wa chama tawala ku capitalize kwenye personal attacks!
   
 20. Islam005

  Islam005 JF-Expert Member

  #20
  Feb 19, 2013
  Joined: Nov 1, 2008
  Messages: 2,553
  Likes Received: 906
  Trophy Points: 280
  ana matatizo ya akili huyu mtoto
   
Loading...