Makao makuu ya CHADEMA hapaingiliki toka Lwakatare akamatwe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Makao makuu ya CHADEMA hapaingiliki toka Lwakatare akamatwe

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Taswira, Mar 22, 2013.

 1. Taswira

  Taswira JF-Expert Member

  #1
  Mar 22, 2013
  Joined: Sep 23, 2012
  Messages: 1,198
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Nimefika makao makuu ya CHADEMA kwa lengo la kupeleka barua ofisi ya Hazina. Nimepekuliwa kuanzia kuvua viatu,mifukoni na nikaamuliwa kuacha simu mapokezi(mlinzi wa CHADEMA). Nimehamaki kuona hali ile,Haikuwa kawaida ya CHADEMA kufanya upekuzi huu.

  Maswali mengi sana, nimeulizwa hadi kazi ninayoifanya na ndugu zangu wa karibu. Inaokena sakata la Lwakatare limekichanganya chama sana. Walinzi wapo sharp sana kuhakikisha muda wote mgeni upo kwenye uangalizi.

  CHADEMA" kikulacho kinguoni mwako"
   
 2. master peace

  master peace JF-Expert Member

  #2
  Mar 22, 2013
  Joined: Dec 19, 2012
  Messages: 1,451
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Safi sana, mwendo ni huo huo mpaka kieleweke.
   
 3. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #3
  Mar 22, 2013
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,026
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0
  Hii nayo news alert?
   
 4. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #4
  Mar 22, 2013
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,051
  Likes Received: 944
  Trophy Points: 280
  chadema ni serikali ya mioyoni mwetu!
   
 5. Apolinary

  Apolinary JF-Expert Member

  #5
  Mar 22, 2013
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 4,704
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
   
 6. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #6
  Mar 22, 2013
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,301
  Likes Received: 1,135
  Trophy Points: 280
  Chadema haikwepeki.
   
 7. Taswira

  Taswira JF-Expert Member

  #7
  Mar 22, 2013
  Joined: Sep 23, 2012
  Messages: 1,198
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Lwakatare sagga inaonekana kukichanganya chama.
   
 8. tetere

  tetere JF-Expert Member

  #8
  Mar 22, 2013
  Joined: Dec 3, 2006
  Messages: 962
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Hili ndilo CCM walilokuwa wanlitaka. Kwamba CHADEMA wataanza kukimbia kivuli chao wenyewe. Nadhani ni wakati muafaka wa CHADEMA ku-strike a good blow to their oponents (CCM). This would have been the best time kwa CHADEMA kuibuka na kiboko na wakachapa tena!
   
 9. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #9
  Mar 22, 2013
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,211
  Likes Received: 1,818
  Trophy Points: 280
  Ni suala la usalama tu, Parokiani kwetu tangu last week waumini wanaoingia kwa ajili ya ibada wanakaguliwa sana hasa kwa kutumia sensors, unadhani ni kwasababu Lwakatare amekamatwa?
   
 10. Tangopori

  Tangopori JF-Expert Member

  #10
  Mar 22, 2013
  Joined: May 11, 2012
  Messages: 1,627
  Likes Received: 296
  Trophy Points: 180
  Safi sana! Isije ikawa ulitumwa na magamba kuweka kitu hatari hapo then ukishafanikisha policcm waje baada ya muda waseme ni viongozi wa Chadema!
   
 11. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #11
  Mar 22, 2013
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,009
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Naunga hoja mkono!

  Pigwa mtu seach mpaka kunani kudadeki!
   
 12. K

  Kalenga-Iringa JF-Expert Member

  #12
  Mar 22, 2013
  Joined: Nov 4, 2012
  Messages: 263
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hHAHAHA,
  Mbona mie nimeingia pale juzi na kikamera changu kwenye shati hawajakiona?
   
 13. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #13
  Mar 22, 2013
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 19,012
  Likes Received: 11,652
  Trophy Points: 280
  tatizo wewe upo chadema ila umekaa kimagambamagamba.
   
 14. r

  robert2015 New Member

  #14
  Mar 22, 2013
  Joined: Mar 13, 2013
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sawa kabisa chadema mwendo mdundo rafiki yako kumbe adui wako mzidi kuwa makini
   
 15. Bramo

  Bramo JF Bronze Member

  #15
  Mar 22, 2013
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 9,607
  Likes Received: 2,681
  Trophy Points: 280
  Ni nini content ya hiyo Barua????
   
 16. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #16
  Mar 22, 2013
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,998
  Likes Received: 485
  Trophy Points: 180
  Safi sana. security assurance must be complied!
   
 17. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #17
  Mar 22, 2013
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  "...limekichanganya chama sana..."

  Unamaana gani? AU .. Unataka tueelewe nini na Matamshi hayo!!?
   
 18. Wa Kwilondo

  Wa Kwilondo JF-Expert Member

  #18
  Mar 22, 2013
  Joined: Sep 15, 2007
  Messages: 1,083
  Likes Received: 137
  Trophy Points: 160
  Taswira=Masalia group!
   
 19. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #19
  Mar 22, 2013
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 15,315
  Likes Received: 7,401
  Trophy Points: 280
  ccm walijua kwa sababu mkuu wa usalama amekamatwa wanaweza kufanya chochote wanacho taka. chadema ni chama kikuu na kikubwa. ccm msijidanganye hata kidogo. mia
   
 20. S

  STIDE JF-Expert Member

  #20
  Mar 22, 2013
  Joined: Sep 1, 2011
  Messages: 998
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Kwanza wamekosea!! Ilitakiwa wakuvue kabisa nguo!!!!

  Inaonekana ww sio mwema hata kidogo kwa CDM, maana usingehamaki ki hivo na kutuletea humu jamvini kwa mambo ya kawaida kama hayo!!!! Badala yake ungeipongeza CDM kwa umakini wao!!

  Angalia ulivomalizia hapo chini!! Nyamb**u.
   
Loading...