kaulizi hizi za askofu mkuu Tanzania

kaulizi hizi za askofu mkuu Tanzania

little swai

Member
Joined
Dec 11, 2012
Posts
12
Reaction score
1
Leo ni sikukuu ya pasaka na askofu amegusia juu ya mgogoro wa kuchoma nyumba za ibada na mauaji ya viongozi wa dini ya kuwa ipo haja ya kukaa meza moja na kila upande uamini ya kuwa mwenzake ana nia njia njema na jambo la pili kila upande uwe mkweli kwa maslahi ya kutatua tatzo na kikubwa serikali iwepo kama observer kwani haiwezi kukwepa lawama.
 
Back
Top Bottom