Juhudi za kumsafisha Mh. Lowassa zazidi shika kasi, sasa ni KKKT Shinyanga mjini

sammosses

JF-Expert Member
Jan 24, 2011
1,682
1,110
Ni majira ya saa tisa na dakika ishirini msafara wa mh.Lowasa uliingia kwenye manispaa ya Shinyanga mjini ukiongozwa na gari la askari polisi,ziara hiyo ni miongoni mwa ziara za kuchangia katika harambee za kujenga makanisa mbalimbali ikiwa ni mkakati wa kujiimarisha zaidi na kukubalika na waumini wa madhehebu mbalimabali.Duru za kisiasa mkoani humo zinazidi kutabanaisha kuwa ilikuwa harambee hiyo ifanyike jumapili iliyopita,ila kutokana na msiba mkubwa wa aliyekuwa mzazi mwenzake harambee hiyo iliahirishwa.Harambee hiyo inatarajiwa kufanyika hapo kesho.Nitaendelea kuwaletea kila kinachojiri
 
Tuhabarishe mkuu. Watu wa Shinyanga hawawezi kumsahau huyu mtu. Aliwaokoa na adha ya bwana la Ning'wa kwa kuwaletea maji toka Ziwa Victoria akizifumbia macho kelele za Hosni Mubarak! Hapo Shinyanga ni kama kwake. Amewapa maji sasa anataka awape chakula cha kiroho kwa kuwasaidia kujenga makanisa.
 
Haswaa... iliwahi kusemwa politics are local.
 
Kamati za shule zingechangamka muda huu kuwaalika akina Membe , Sitta na Lowassa badala ya kushiriki harambee za makanisa tu wangewaita kuchangia madawati , maabara na nyumba za walimu pia. Changamkeni, muda ndio huu kabla ya uchaguzi.
 
Edo hata asafishwe kwa dodoki hakuna kitu. Lakini naomba asimamishwe na Magamba 2015, ili kazi iwe rahisi kwa CDM, chama cha wazalendo wa nchi hii. Dr. Slaa, the president, leading from the people's hearts.
 
Wewe jidanganye tu!
 
Mkuu hivi Dr. Slaa ndiye mgombea wa CDM mwaka 2015?
 
Kamati za shule zingechangamka muda huu kuwaalika akina Membe , Sitta na Lowassa badala ya kushiriki harambee za makanisa tu wangewaita kuchangia madawati , maabara na nyumba za walimu pia. Changamkeni, muda ndio huu kabla ya uchaguzi.
Najiandaa kuwalika wote kwa nyakati tofauti kwenye harambee ya kuchangia shule ya kijijini kwetu.
 
Safi sana, watakuja tu, waambie kwamba kutakua na waandishi wa habari na wapiga kura wengi. Wanasiasa wote waroho wa kura , shurti wazihangaikie.
 
Hivi miaka yote hii Lowassa alikuwa wapi? Ni lini amegundua kuwa uchangiaji wa makanisa ni mtaji? Nauliza tu.

alikuwepo na alianza zamani sana ufisadi kupitia makanisa, MoU ya 1992 yeye ndio alikuwa piooneer; kwa hiyo hapo anawakumbusha fadhili zake zinaendelea...

Ikibidi wampe mgawo wake wakati wa uchaguzi
 
hivi unawezakusafisha kinyesi....ngoja tuone mavi yakigeuzwa keki......
 
Hivi miaka yote hii Lowassa alikuwa wapi? Ni lini amegundua kuwa uchangiaji wa makanisa ni mtaji? Nauliza tu.
Alikuwa waziri na maji wa waziri mkuu. So, he was very busy. Now he is just a member of parliament. He has ample time to involve himself on such activities. Any more questions?
 
Ingekuwa vizuri kama angetoa ratiba ya mwbka mzima atatembelea wapi nasi tuone kama makanisa yetu yamo. Harambee yake moja inatosha kukamaliza kanisa letu dogo.
 
alikuwepo na alianza zamani sana ufisadi kupitia makanisa, MoU ya 1992 yeye ndio alikuwa piooneer; kwa hiyo hapo anawakumbusha fadhili zake zinaendelea...

Ikibidi wampe mgawo wake wakati wa uchaguzi

Lakini huyu si ni mmoja wenu,mbona unamponda?
 
Back
Top Bottom