Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Mkewe Tunu wakifanya mahojiano na mtangazaji wa Radio Vatican, Padri Richard Mjigwa (katikati) kweye moja kati ya studio za Raido hiyo Mjini Roma...
4 Reactions
105 Replies
16K Views
jamani wana JF ni mwaka mwingine tena nchi inakuja na bugeti ya trillion 17, mwaka jana zilikuwa pia 1o na ushee pia lakini sioni tofauti ya nchi kimaendeleo zaidi ya kuongeza deni la Taifa ambalo...
0 Reactions
0 Replies
980 Views
Mheshimiwa Rais JK amezuru eneo la maafa pale kulipoporomoka ghorofa leo asubuhi.
2 Reactions
146 Replies
13K Views
Visiting UN not priority for Khama View PhotoCOST CONSCIOUS: Seretse Ian Khama does not go to many summits as he says some are just talk shops and … GABORONE — Lt-Gen Seretse Ian...
1 Reactions
0 Replies
864 Views
Victoria fm ya mjini Mwanza leo asubuhi kipindi cha matukio wameripoti kuwa wamefanya mahojiano na naibu waziri wa elimu Bw.Philip Mulugo kuhusu tuhuma zinazomkabili ambapo amesema hawezi...
1 Reactions
110 Replies
8K Views
Updated: 20/02/2014 Maskini EL......................upepo unamwendea vibaya................lakini si yeye peke yake..................pia na wenzake waliohojiwa juzi na kamati ya...
1 Reactions
57 Replies
5K Views
Polisi nchini Kenya kwa kushirikiana na maofisa wa Usalama wa Hospitali ya Nairobi, wameanza uchunguzi juu ya chanzo cha kifo cha wakili maarufu nchini, Nyaga Mawalla kutokana na kuibuka taarifa...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
‘ Njiani Kwenda Kwa Rais!’-4 Ndugu zangu, Jana niliandika, kuwa ili tufahamu zaidi urafiki uliokuwepo wa watatu hawa; Julius, Oscar na Rashid ni vema tufahamu jinsi walivyokutana...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Mshikamano na ushirikiano kati ya wazee na vijana kuleta maendeleo haukimbiliki. Ni kama mbio za kijiti, ananza mmoja kukimbia mwingine anapokea mbele mpaka mbio kuisha. Maendeleo ya jamii ni...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jana Nimetoa taarifa juu ya Manyanyaso ya police dhidi ya Viongozi wa CDM na wananchi wa Kijiji cha Kwaga Wilaya ya Kasulu. Kwenye taarifa nilisema hivi...
1 Reactions
54 Replies
10K Views
Awali ya yote namshukuru mungu kwa kunijalia afya njema na kunipa fursa ya kupata elimu ambayo bila shaka ninalo deni kwa wananchi wa Mufindi,mimi nimezaliwa kijiji cha kihanga,wilaya mufindi,mkoa...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Kwa mtu yeyote mwenye uchungu na Ubinadamu kwa wanayotendewa ndugu zetu huko Loliondo tafadhali tujumuike wote kwenye hili, hata kama ni wa Kenya, wamasaai, wahadzabe, Wasonjo, lakini bado ni...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
The African Executive | Oil: How Could Liberians Settle for Only Five Percent?
0 Reactions
3 Replies
961 Views
KANISA la Overcomers lililopo mkoani Iringa, limeandaa tuzo maalumu kwa ajili ya kumtunuku Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa, kutokana na mchango wake alioutoa katika jamii. Akizungumza na...
1 Reactions
84 Replies
7K Views
Tanzania has hit headlines around the world for all the wrong reasons. A 16-storey building collapsed. With wide coverage this unfortunate incident has received the world now knows that our...
4 Reactions
17 Replies
2K Views
Imewahi kuulizwa bungeni ktk kipindi cha maswali na majibu kwa PM mwaka huo wa 2009 emediately baada ya uchaguzi wa serikali za mitaa kwamba kwanini nafasi ya udiwani isirudishwe ktk chaguzi za...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
wanabodi habari za muda huu! Nianze kwa kaulimbiu inayosema 'TUUSHINDE UBAYA KWA WEMA' kama mnakumbuka siku ile mauaji ya Fr Evaristus Mushi yalipotokea tulisikia salam za masikitiko kutoka...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
nashangaa sana kwa serikali kutoa vibari vya kujenga majengo marefu sana katikati ya jiji wakati huduma za kuzima moto katika mejngo hayo kama yakiwa yanaungua hazipo. Vile vile utaalamu wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
1.60% ya vijana kupata Div.4 ,hakuna hata mtu mmoja anawajibika 2.Waziri amejulikana wazi beyond doubt kwamba alitumia vyeti vya mtu mwingine,na majina tofauti. Lakini hakuna anayemwajibisha...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Maombi ya Lwakatare yapangiwa jaji Dar es Salaam. Maombi ya Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama waChadema, Wilfred Lwakatare kupinga utaratibu wa Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP)kumfutia...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom