"Ni lazima tujue mwenye dhamana ya ubora wa majengo na ujenzi Tanzania ni nani?
Maneno haya wengi hatupendi kuyasikia maneno haya lakini ukweli lazima tuuseme daima pole, rambi rambi hazisaidii...
Habari za uhakika na zisizopingika kutoka kwenye chanzo chetu cha vibomu ni kuwa mmiliki wa jengo lilibomoka leo dar hakuajiri wakandarasi kujenga hilo jengo kwa kuogopa gharama bali alikata klitu...
Wakuu nimeleta uzi huu tuijadili na hii TFDA sababu wameshindwa kufuatilia ubora wa vyakula tunavyokula kwenye migahawa.
Tulishalishwa mayai feki, tomato feki ndiyo tunakula kila leo kwenye...
BARUA YA WAZI YA Joseph J.Mungai( MB mstaafu ) P.O.BOX 34 Mafinga S: 0753 192999 BP: jjmungai@tatepa.com BARUA YA WAZI KWA TUME YA ELIMU YA KUFELI 60% MTIHANI WA KVI 12012 ILIYOTEULIWA NA MHE...
Leo ushirikiano na mchina umeshika kasi katika serikali ya wamu ya Nne chini ya Rais Kikwete, Tembo na faru wanauwawa hakuna wa kuzuia. Wachina wanagawiwa mashamba na ardhi kwa kasi. Biashara...
Ufisadi (kleptocracy = mfumo wa wizi ndani ya serikali ambao waliomo huwa hawataki kukiri hivyo) ni kizingiti kikubwa sana kwa jamii yo yote ile kufikia maisha bora kwa kila mwanajamii (yaani...
Bila kujali mmekuja na ajenda zingine, mimi binafsi na watanzania wapenda amani tunawashukuru kwa kufanikisha zoezi la kukamata waarifu waliohusika na mauaji ya Padre Evarist Mushi.
Kuna...
Raisi Kikwete huwa ana utaratibu,ambao nadhani siyo rasimi,wa kuongea na waandishi wa habari kuhusu mambo mbali mbali ya kitaifa na kimataifa.Katika vikao hivyo, waandishi hupata fursa ya kumhoji...
Salaam wana Janvi.. Ni kama swali lakini lenye utangulizi mdogo wa nini sababu za mke wa Rais kuamua kujiunga na siasa za ushindani. Nadhani kama sina kumbukumbu nzuri anaweza akawa mke wa kwanza...
NEWS
Mt Kilimanjaro. Photo/FILE
By ADAM IHUCHA Special Correspondent
Posted Saturday, March 23 2013 at 17:03
IN SUMMARY
The Tanzania National Parks Authority (Tanapa) says the increase...
Wakuu;
viongozi wa cdm ktk kata ya ulemo wamekamatwa na polisi kwa kosa la kuhoji maswali ktk mkutano wa diwani wa ccm ktk kata ya ulemo wilaya iramba,
tayari tumefika kituoni hapa misigiri...
Heshima mbele JF!
Ndugu.Fredrick Sumaye ambaye waziri mkuu mstaafu wa Tanzania(JMT) ameyasema hayo katika mahojiano na gazeti la Raia Mwema,
Sumaye anasema,"Jambo hili nililitolea ufafanuzi...
By The Citizen Reporter|Dar es Salaam, Wednesday, 27 March 2013
Polycarp Cardinal Pengo yesterday accused the Police Force of failing to maintain law and order and prevent the killing of...
Naibu Katibu Mkuu Wa CHADEMA Mh.ZITTO KABWE Ametua Nchini Afrika Kusini Nakumjulia Hali Mhariri Mtendaji Wa Habari Corporation Ndugu ABSALOM KIBANDA SOURCE FACBOOK WALL YA ZITTO
Mwandishi Wa...
Nimemsikia Mheshimiwa wetu akisisitiza umuhimu wa kujivunia vya kwetu na kusisitiza umuhimu wa maliasiri zetu.Nimemnukuu akisema Binadamu wa kwanza dunuani alipatikana Ngorongoro,Sina uhakika na...
Ndugu zanguni,
Kama mjuavyo vuguvugu la mageuzi limepamba moto nyumbani na kila kukicha chama chetu kinazidi kujizolea umaarufu kwa sababu ni chama pekee kinachopambana na mafisadi bila ya...
Leo (kwa bahati) nilikuwa naangalia kipindi cha TBC asubuhi kabla hawajajiunga na matangazo ya mojakwamoja yalihusu uzinduzi wa jengo la Mikutano la Mwalimu Julius Kambarage Nyerere nikakutana na...
Wadai wahalifu siyo kondoo wakamatike kirahisi
Wamtaka Pengo awaeleze aliko muuaji wa Padri
Jeshi la Polisi limemjibu kwa kejeli Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.