Maana ya People's Power

Maana ya People's Power

MashaJF

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2010
Posts
246
Reaction score
119
View attachment 88674

Source: allfamousquotes.net

Tafakari chukua hatua.

Tatizo kuna watu kama Chris Lukosi Wanachukua hatua halafu wanarudi tena kuungana na kumsikiliza huyo jamaa ndio maana hadondoki.
 
natamani umati ulioshikilia ubao ujue umuhimuwake nakuamua kurudi nyuma hatua kadhaa,kiwe kihama chahuyo mtu.
 
Naomba unitajie nchi moja ambayo inaendeshwa katika misingi ya haki na usawa?
 
Huyo mmoja akipanga njama mauaji kwa wale raia watakimbia halafu yeye anadumbukia shimoni pole mkurugenzi
 
Back
Top Bottom