Kwa maoni yangu,nchi imefika hatua hii ya kuwa na vurugu za kidini,maandamano na ghasia nyingine kutokana na wanaanchi kupoteza imani na serikali na hivyo kuamua kutumia njia na mbinu wanazoona...
Estimates reserve of gold are over 30 million ounces of gold
Official exports of gold rose in value in Tanzania, from USD
121 million in 2000, to USD 890 million in 2007 and USD
1,076.1...
Niukweli usiopingika kuwa pamoja na jitihada zinazofanywa na CCM kukipaka matope
CHADEMA chama hiki kimezidi kujikita zaidi ktk mioyo ya Wtz kila kukicha.
Na kinachoonekana sasa nisafu ya CHADEMA...
Kwa wale watumiaji wa simu watakubaliana nami juu kasi kubwa ya haya makampuni ya simu jinsi yalivyo na bidii ya kuwachezesha watanzania bahati nasibu/kamari kwenye mitandao yao,na pesa wanayovuta...
April 3rd, 2013 | by Joas Kaijage
Only fewer women can access maternal health services at one of the major health facilities in Kagera Region owing to cessation of the Maternity Delivery Relief...
Jamani leo kulikuwa na uchaguzi wa kuwapata wajumbe wa mabaraza ya katiba kwa ngazi ya wilaya, wenzangu mligombea? Mimi nilituma maombi na leo kwenye mchakato nimeshinda, TUHAKIKISHE TUNAPATA...
Jisomee waraka wa Godbless Lema kwa Jakaya Mrisho Kikwete.
===
Mh Rais Nakusalimu,
Wakati mwingine unapaswa kupewa pole na kuombewa na kufanyiwa dua kwani wewe ndie unatumikia ofisi kubwa kuliko...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Jakaya Mrisho Kikwete leo April 1, 2013 amekutana na Naibu Rais mteule wa Kenya Mhe William Kipchirchir Samoei Arap Ruto ambaye alikuwa nchini kwa...
LIVE on TBC1 right now
Maaskofu bila kupepesa macho wanailaumu serikali kwa kutochukua hatua thabiti juu ya waislamu wachache wanaoendesha unyama dhidi ya wakristo
wamlaumu Mh. Rais Kikwete...
hv mwekezaji anatoa wapi kiburi ktk nchi ambae sio yake?kamati ya bunge ya mashirika ya umma ilienda kufanya ukaguz ktk jengo moja appartment lakini walikumbana na kisiki cha mwekezaji huyo kwa...
Nilikuwa nasikiliza dira ya mcha star TV na kukuta habari ya kikao cha RCC mkoani mbeya kikizungumzia uwanja wa ndege wa Songwa huku wajumbe wakipendekeza jina la uwanja huo kuwa Uwanja wa...
A death is a death, whether you die or get killed. More than 85% of the world population die before 80, very few people reach 90 and very very few people cross 100. This makes the fact that more...
16
AN-NUUR
JAMADUL AWWAL 1434, IJUMAA MACHI 22-28, 2013
Gazeti hili hutolewa na Islamic Propagation Centre S.L.P. 55105 na kupigwa chapa na Business Printers Limited, S.L.P. 78495 Dar es...
Mlianza kuhubiri udini, na ukanda sasa imekuwa ngumu kuuzima huo moto,
Wakati umefika sasa kwa CCM kufanya Mambo ya maendeleo na kuacha siasa na propandanda zisizokuwa na mshiko.
Swala la Udini...
As part of its railway upgrade project, the government through Tazara has secured $39 million from China to buy six new locomotives, 90 new wagons and spare parts, as well as renovate nine...
Hizi zinaonekana kila kona huko Loliondo, ni wakati muafaka kwa CHADEMA kujipanga maana hata Mbunge wa huko yuko njiani kurudisha kadi
hali ni tete huko na hawa wanaonekana kila kona...
Habari kwa wote!
Kufuatia matatizo yanayoendelea nchini hasa katika swala la uchinjaji wa vitoweo na kukua kwa chuki baina ya Wakristu na waislamu ni dhahiri sasa ni wakati muafaka wa serikali...
Nilikuwa nazungumza na rafiki yangu Mkenya alfajiri hii na moja ya tuliyo zungumza ni juu ya kuanguka kwa jengo La ghorofa 16 Dar. Bahati nzuri yeye mara kadhaa anafuatilia mijadala ya humu JF na...
Wabunge waunganisha nguvu kutaka kumsulubu bungeni
na Mwandishi wetu
Tanzani Daima
RIPOTI ya tume iliyoundwa na Waziri Mkuu aliyejiuzulu, Edward Lowassa mwaka 2006 kuchunguza ujenzi wa...
People in the UK now fit into seven social classes, a major survey conducted by the BBC suggests. It says the traditional categories of working, middle and upper class are outdated, fitting 39% of...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.