Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wadau najaribu kufikiria kuhusu hatima ya kesi inayo wakabali rais na makamu wake Kenya huko ICC. Nimejiridhisha kwamba ICC haina hela za kuwatia hatiana rais na makamu wake kwa tafsiri moja...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mimi siyo muumini wa chama chochote cha siasa bali mara zote nimekuwa nikiangalia mgombea mwenye uelekeo wa kiuwajibikaji ila hakuna hata mmoja aliyefikia robo ya matarajio yangu na wapiga kura...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mh. Rais 2015, Utakapo ingia madarakani ukumbuke nchi ni maskini na ufanye mapinduzi ya kiuchumi ili kila mtanzania aone naye anastahili maisha mazuri. Umaskini kwa sasa siyo vijijini tu hata...
7 Reactions
154 Replies
13K Views
Katika hali ya kutatanisha Mhe. Diwani wa Viti Maalum (CHADEMA) Moshi Mjini amekamatwa na kushikiliwa na jeshi la polisi kuanzia siku ya jumatatu tRehe 1/4/2013 saa 4 asubuhi hadi jana tareh...
0 Reactions
39 Replies
4K Views
Nimesoma gazeti hili online sijaona mahali popote katika ukurasa wa mbele wa gazeti hili kuripoti tuhuma zinazomkabili waziri wa uchukuzi mh. Mwakyembe za kuipa tender Kinyemela kampuni ya CCM...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Watanzania tunashangaa chama ambacho kinajitangaza kuwa kina kusudio la kuingia magogoni mwaka 2015 hadi leo hawajatia mguu katika tukio la kuanguka ghorofa 17. Haijulikani kwanini Dr. Slaa na...
1 Reactions
202 Replies
14K Views
Mashirika ya hiari yanayojishughulisha na kutetea haki za ardhi na haki za binadamu nchini tanzania asubuhi hii imetoa tamko la kupinga ardhi wa vijiji vya loliondo kutolewa kwa mwekezaji mmiliki...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Ndugu
0 Reactions
10 Replies
2K Views
RIPOTI ya tume iliyoundwa na Waziri Mkuu aliyejiuzulu, Edward Lowassa mwaka 2006 kuchunguza ujenzi wa maghorofa katika Jiji la Dar es Salaam, imemweka mahala pabaya na inaweza kumtoa kafara...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
  • Closed
ANGALIZO: Serikali haina dini na inatakiwa isimamie sheria zinasemaje kuhusu suala la uchinjaji pili, busara na tamaduni zetu pia zinaweza kutumika kutatua hili suala. Hakika nguvu hizi za...
1 Reactions
2 Replies
5K Views
Tanzania Daily News (Dar es Salaam) Dodoma — THE government will look into the possibility of people in Zanzibar to own firearms but the matter will be worked out carefully to study its legal...
0 Reactions
1 Replies
945 Views
WanaJamvi Jana jioni hadi usiku wa manane, mafuta sehemu nyingi Dar yalikuwa kwa petrol sh 2050/2 leo asubuhi ati ni sh 2080/2, ongezeko la zaidi ya sh 30 @ Lt. Mafuta yameongezeka usiku wa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wanabodi nadhani katika maisha ya binadamu ni vema kuwasiliana na wale ambao tayari wana uzoefu katika jambo fulani ambalo limekusibu sababu tayari wao wanauzoefu nalo ikiwa ni pamoja na mbinu...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Wadau,nipo hapa soko la Jumla la Kilombero,diwani wa kata ya Levolosi CHADEMA,Ephata Nanyaro amefika hapa na kuwatangazia wafanyabiashara wote kuwa wasilipe ushuru wowote wa soko,kwa madai kuwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
habari wana wana jf, Ni mtizamo na maoni kwamba serikali yetu ya muungano wa Tanzania kupitia viongozi wake jeuri imekuwa ikiwafanyia wananchi vile inavyotaka yenyewe na sio watakavyo...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Kwa muda sasa nimekuwa nikifuatilia matukio muhimu mazuri na mabaya katika nchi yetu lakini sijaona chombo cha habari kilicho na Waandishi wa habari wanaoandika habari za kichunguzi(investigative...
9 Reactions
41 Replies
6K Views
When you were elected President, Tanzanians expected you to provide good and strong leadership. Unfortunately, so far at least, we have not had the privilege of experiencing responsible and...
2 Reactions
1 Replies
900 Views
TAMKO LA TAASISI YA WAHANDISI TANZANIA KUHUSU KUPOROMOKA KWA JENGO LA GHOROFA 16 LILILOKUWA LINAJENGWA JIJINI DAR ES SALAAM 1. UTANGULIZI (ANGALIZO) Kabla ya kutoa tamko lake, Taasisi ya...
3 Reactions
31 Replies
6K Views
Kwanza kabisa niwatakie kheri ya Pasaka watanzania wenzangu. Wakristo wenzangu mnapoadhimisha kumbukumbu ya ukombozi wa mwanadamu nawaomba muwe na kiasi katika kila mlifanyalo. Nikirudi kwenye...
5 Reactions
48 Replies
4K Views
Katika utaratibu wangu wa kupitia taarifa za habari katika vyombo mbalimbali vya habari ili kung'amua yale yanayojiri kila siku, nimepitia gazeti la Mwananchi la Jumatano ya leo ya tarehe 3 april...
3 Reactions
79 Replies
8K Views
Back
Top Bottom