Mlianza kuhubiri udini, na ukanda sasa imekuwa ngumu kuuzima huo moto,
Wakati umefika sasa kwa CCM kufanya Mambo ya maendeleo na kuacha siasa na propandanda zisizokuwa na mshiko.
Swala la Udini linalo ikabili Tanzania ni hatari kuliko mnavyo dhani, kibaya zaidi watu hawadanganyiki kirahisi sikuizi. Kila mtakavyo fanya mtaonekana mnafanya majungu tuu na njama za kuuwa wapinzani.. itafika wakati iyo CCM itapukutika kama umande kwakuwa sasa watu hawafanyi kazi za kuleta maendeleo, chama kinafikiria jinsi yakukiangabiza chama kingine ,
Wenzenu uchaguzi ukiisha hupambana kufanya Mambo ya maendeleo kwa wananchi wao ili kujijengea mazingira mazuri ya kuahinda uongozi mda ufikapo. Laki imekuwa kinyume kumekuwa na Udini, uchama , ukabila, tofauti kubwa Kati ya alienacho na asie nacho, badala yaku waelimisha wananchi kuhusu Mambo ya maendeleo mnahubiri matusi tena makubwa..
Ivi kweli mtapona? Nadhani hapana watu wamechoka , fikra za Leo sio za Jana ! Mengi tutayaona..tusubiri wananchi wakichoka wamechoka, laana ya Udini huwa haiishi, sasa matokeo ya kuwagombanisha Waislamu na wakiristo mmefanikiwa, tusubiri nn?
Watanzania tusikubali mtu kutugombanisha kwa faida za wachache. Uwe mwislam au mkristo sema CCM sasa basi. Tusonge mbele tuendelee kujenga taifa letu na kuendeleza udugu wetu kama zamani.
Hayo ni maoni yangu ndugu ZANGU unaweza kuongeza ushauri wako maana tunapo elekea nikubaya sana.