Nswima John Edward
JF-Expert Member
- Oct 25, 2012
- 612
- 312
Jamani leo kulikuwa na uchaguzi wa kuwapata wajumbe wa mabaraza ya katiba kwa ngazi ya wilaya, wenzangu mligombea? Mimi nilituma maombi na leo kwenye mchakato nimeshinda, TUHAKIKISHE TUNAPATA KATIBA AMBAYO ITAIFANYA TANZANIA KUWA NCHI SALAMA YA KUISHI, KWA KUTUPA MAISHA MAZURI, KWA KUWEKA ULINZI MADHUBUTI WA MALIASILI ZETU NA KUWAFANYA VIONGOZI KUWA WAWAJIBIKAJI!!! KILA LA KHERI!!