Wakuu
Hii ishu si ya wana LOLIONDO tu ingawa wao ndio wa-athirika wakubwa kwani wanataka kumilikisha eneo hilo kwa mwekezaji OBC kwa mwamvuli wa GCA (game control area).
Taarifa ya wizara kwa umma inaonesha kuwa umuhimu wa ardhi ni
*mapito ya wanyama
*mazalia ya wanyama
*ni vyanzo vya maji
BUT pamoja na hayo sababu kuu ni kumwachia mwarabu Wamaasai wa Loliondo wanatumia eneo hili la 1500 square kwa malisho ya mifugo yao, kuna hatari ya ng'ombe kukosa pastures na ukizingatia economic activity ni ufugaji, HII NI KUKARIBISHA UMASIKINI
Wanaharakati take a look katika hili kuikomboa ardhi hii inayofanywa ka mtaji wa wakubwa usiokaguliwa na CAG.