Barua ya wazi kwa Dr Slaa Part 1 + 2 kuelekea 2015 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Barua ya wazi kwa Dr Slaa Part 1 + 2 kuelekea 2015

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kibai, Feb 5, 2012.

 1. kibai

  kibai JF-Expert Member

  #1
  Feb 5, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 201
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Mh. Rais 2015,

  Utakapo ingia madarakani ukumbuke nchi ni maskini na ufanye mapinduzi ya kiuchumi ili kila mtanzania aone naye anastahili maisha mazuri. Umaskini kwa sasa siyo vijijini tu hata mjini hali ni hiyo hiyo, lakini zaidi sana Mkuu angalia je ni kweli watanzania hawawezi kuwekeza ndani ya nchi yao? na kuleta maendeleo yao kwa msaada wa serikali?

  Mimi nimefanya utafiti kidogo na nimeona yafuatayo:

  Kwanza shares zote DSE zinauzwa bei ya juu ya thamani halisi yaani NAV ( Net asset value), maana ni kwamba watu wana mitaji lakini they cannot put anywhere wanabaki kugombania hisa zilizopo chache, na wengine sasa wanaishia kununua madaladala na baada ya mwaka mmoja wanaishiwa kwasababu hawakujua wanafanya nini.

  Angalia philosophy ya Waren Buffett utajua nina maana gani, lakini zaidi siyo kila mtu ni mchumi kwahiyo unaona bora uende ununue shares ambazo ziko listed;

  Pili hakuna investment vehicles za kutosha iko hiyo unit trust lakini imekaa nafikiri watu hawajawaelewa strategies zao, we need hizi zaidi lakini hata tuone if we can do something kwenye private equity funds ili ku stimulate uchumi, hapa serikali inaweza kusaidia kwa kusukuma through Quantitative easing!

  Watu wabuni miradi wasimamiwe serikali inunue shares watu waende mbele, mfano hiyo UDA ya mafisadi inaweza kulistiwa watu wakawekeza huko wakaachana na daladala, kunavitu vingi sana, uchumi hautaenda kabisa, anyway hii p[ost ya kwanza hebu nione kwanza then tutaendeleza mada, ni ndefu sana.
   
 2. Nzenzu

  Nzenzu JF-Expert Member

  #2
  Feb 5, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 859
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Upo sawa ndugu, i mean umesoka vyema!
   
 3. M

  Mgaya D.W JF-Expert Member

  #3
  Feb 5, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 966
  Likes Received: 192
  Trophy Points: 60
  Muono wako ni mzuri na vema ukamalizia ili tukuelewe zaidi nasi tuchangiapo tupate wigo mpana wa uchambuzi.
   
 4. Jumakidogo

  Jumakidogo R I P

  #4
  Feb 5, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 1,859
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Mawazo yako si mabaya. Kosa kubwa ulilofanya ni kujipa uhakika wa asilimia 100 kuwa Dr Slaa ndiye atakayekuwa rais mpaka unamwandikia barua ya wazi. Kwanza mpaka sasa hatujajua kama atagombea yeye. Lakini pamoja na hayo, kiswahili ni lugha tamu sana katika kuongea na adhimu yenye ladha, unaweza kuwa unajua kiingereza pia likini si lazima watu wote wajue kuwa unajua. Thread yako ungeiandika kiswahili tu, ingependeza zaidi. Pia kichwa kiwe 'barua ya wazi kwa rais wa awamu ijayo'
   
 5. Mkuu wa chuo

  Mkuu wa chuo JF-Expert Member

  #5
  Feb 5, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,255
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  thubutu!!
   
 6. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #6
  Feb 5, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,259
  Trophy Points: 280
  Hahaha! Sasa mbona unavujisha siri za chama kabla jamani?
   
 7. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #7
  Feb 5, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,259
  Trophy Points: 280
  Thread ni kiswahili cha lamu ama cha pemba?
   
 8. Gwallo

  Gwallo JF-Expert Member

  #8
  Feb 5, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 2,322
  Likes Received: 844
  Trophy Points: 280
  Hivi wewe Kingxvi Dr Slaa akitajwa tu,kitu cha kwanza kinakuja kwenye ubongo ni upadre na kuacha mke wake.

  Post zako zinaboa. Utafikiri wewe ndiye uliachwa au we ndiwe Rose Kamili nini?
   
 9. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #9
  Feb 5, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  kumbe Dr Slaa ni raisi. . . I see
   
 10. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #10
  Feb 5, 2012
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,600
  Likes Received: 3,893
  Trophy Points: 280

  Mpendwa be realistic, hata Slaa anakushangaa,

  Hawezi kuwa rais 2015! never stop dreaming

  Kama unataka awe rais, basi hakikisha chadema wanajitayarisha kwa hilo.....hakikisha wanatekeleza sera yao ya nyumba tano tanona kuimarisha mikoani hasa vijijini

  uchaguzi uliopita vituo vingi hawakusimamisha wagombea, hawakuwa na wawakilishi kwenye vituo vya kuhesabia kura. Leo unaota kuwa atakuwa rais..akiwa rais nahama nchi hii
   
 11. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #11
  Feb 5, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Sijaona jipya hapo lililokufanya uandike barua. Tujenge chama
   
 12. R

  RMA JF-Expert Member

  #12
  Feb 5, 2012
  Joined: Oct 10, 2010
  Messages: 409
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Inaonekana Jina la DR SLAA linawakosesha maadui wake usingizi; Dr Slaa ana nguvu kama umeme! Akitajwa tu maadui wake wanapepesuka mithili ya wanawake waliopagawa na pepo wachafu walisikiapo jina la Yesu!! Hoja iliyoletwa kwa majadiliano inaachwa na baadala yake watu wanaishia kubishana na kutukanana!
   
 13. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #13
  Feb 5, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  Nimependa analyisis yako ya uwekezaji kwenye secondary equity market. Lakini inabidi kwanza uangalie, ni makampuni mangapi tanzania yapo listed DSE? Watu wana knowledge ya kutosha kuhusu secondary or primary market ya shares?

  Pia hili suala lako umeliadress kwa wrong person. Kama wote tunavyofahamu, Slaa ni Padre by profession. Haya mambo ya Financing na Investing atayajulia wapi? Mbaya zaidi unamuadress yeye kama rais..what the hell..danm!
   
 14. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #14
  Feb 5, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  Ni kosa kubwa, na ni dhambi mbaya sana kusema Nchi hii ni Maskini. Tunaweza kupigwa pigo la ajabu ni Mungu. Tanzania ni nchi tajiri, yenye rasilimali ya kila aina. Tatizo la Tanzinia ni kukosa viongozi wenye dhamira ya dhati, kwa kuleta mapinduzi ya kiuchumi. Rais tuliyenaye ni mtu asiye na Vision, hana huruma kwa wananchi wake zaidi ya kuwatumikia mafisadi. Bila Dr. Slaa kuingia Ikulu watanzania tutaendelea kulia na kusaga meno. Jk siyo rais. Jamani ujuha ni mbaya sana.
   
 15. usininukuu

  usininukuu JF-Expert Member

  #15
  Feb 5, 2012
  Joined: Aug 8, 2011
  Messages: 380
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni mtazamo tu
   
 16. D

  Darick JF-Expert Member

  #16
  Feb 5, 2012
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 222
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kweli kiswahili ni lugha tamu sana katika kuongea lakini mtoa mada hakuongea lakini ameandika!! pili sina uhakikakuwa hapo kwenye red ni Kiswahili. je wewe unaujalije uadhimu wa kishwahili?
   
 17. Gsana

  Gsana JF-Expert Member

  #17
  Feb 5, 2012
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 4,387
  Likes Received: 348
  Trophy Points: 180
  asante ndugu kwa barua yako inayolenga kutatua matatizo na kuelekeza njia ya mafanikio,kwa kuwa Tanzania ina misingi ya demokrasia sina hakika kama rais kashapitishwa ila ushauri wako ni muhimu,pia naongezea msitari1 kuwa rais ajaye afute mikataba ya madini tuanze upya,tufanye investment analysis ya madini yetu...
   
 18. dony2680

  dony2680 JF-Expert Member

  #18
  Feb 5, 2012
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 319
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  mbona hata nyie hakitajwa lowasa mnaweweseka?
   
 19. TUMBIRI

  TUMBIRI JF-Expert Member

  #19
  Feb 5, 2012
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,934
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0

  Sasa huyo Lowassa wako anajua mambo ya Financing & Investing?
   
 20. K-killer

  K-killer Senior Member

  #20
  Feb 5, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 143
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Be careful na maneno yako,angalia usije ukahama kweli,we huoni mambo yanavyobadilika au we mwenzetu steve wonder hauoni?????
   
Loading...