MAFILILI
JF-Expert Member
- Apr 28, 2011
- 2,377
- 1,200
Watanzania tunashangaa chama ambacho kinajitangaza kuwa kina kusudio la kuingia magogoni mwaka 2015 hadi leo hawajatia mguu katika tukio la kuanguka ghorofa 17.
Haijulikani kwanini Dr. Slaa na Mheshimiwa Mbowe ambaye ni Kiongozi wa Upinzani Bungeni hawajaonekana katika eneo la tukio ama kutoa kauli kuhusiana na tukio husika.
Watz tunazidi kujiuliza hawa CHADEMA wana nia njema na wananchi ama nia yao ni kuingia IKULU tu!
Tafadhali wafuasi wa CHADEMA mliopo JF chukueni hatua kwa kutoa ushauri kwa viongozi wenu waandamizi kuwa wabadilike ili wawe serious latika matukio ya kitaifa.