Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Rais Mstaafu Ben Mkapa amesema baada ya uongozi wake anashuhudia mambo mengi ya ajabu ikiwemo mitafaruku katika jamii. Kwamba anachojivunia katika uongozi wake ni kuwa hakuwahi kuambiwa anabagua...
1 Reactions
320 Replies
39K Views
Na Farida Ramadhani MWANASIASA mkongwe nchini, Kingunge Ngombare Mwiru amesema waliharibu mwanzoni kabisa walipochanganya miiko ya viongozi na miiko ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa kipindi...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Balozi Major General Makame Rashi Amefariki Dunia alfajiri ya leo katika hospitali ya TMJ.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Fahamu ongezeko la nauli kwa 24% iliyotangazwa na SUMATRA kwa mabasi ya Mikoani. Mfano: Dar es salaam kwenda Morogoro nauli ya awali ilikuwa Tsh.6,500. 6,500 = 100% ? = 24% (6,500 * 24)...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Tanzania ni nchi ya kidemokrasia inayofuata muundo wa "majority rule" katika kupata Wawakilishi wake wa Kibunge na Kiongozi mkuu wa Mamlaka ya Utendaji-Rais. Hata hivyo pamoja na wabunge...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nimefuatilia kwa makini sana kuhusu mwenendo wa vyama viwili vikubwa na kugundua kuwa ili nchi hii isonge mbele, ni lazima ccm iondolewe madarakani. Na chama konachostahili kushika dola ni chadema...
2 Reactions
103 Replies
10K Views
Katika ile hali ambayo ilitarajiwa na wengi,leo katika kipindi cha jion bungeni,Mh engineer Habibu Mnyaa(mb)amelifumua tena suala la gesi na kutoa hoja ya kuelezea kiini cha mgogoro wa gesi ambao...
1 Reactions
31 Replies
4K Views
Kauli nzito aliyoiandika Absalom Kibanda kuhusu Rais Kikwete TAARIFA mbaya zinazomhusisha Rais Jakaya Kikwete na tope la rushwa na ufisadi zimesambazwa katika mitandao ya intaneti tangu mtandao...
4 Reactions
45 Replies
5K Views
Ndugu zangu haswa wale waelewa ,akili iliyoshindwa kujitambua ni mzigo kwa maendeleo ya watu na taifa .kwa kuwa akili angavu ni chimbuko la asili zenye kuleta mapinduzi ya ndani ya nafsi yenye...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wanabodi kuna sakata linaendelea kwenye soko la Kilombero,kuhusu uhalali wa nani anastahili kulipwa Ushuru,Diwani wa kata ya Levolosi Mh Nanyaro amekuwa kwa wiki nzima akisisitiza wananchi...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Yericko Nyerere, Njoo unikumbushe ya ngapi hii tangu 2006 Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe mama Salma Kikwete wakipokea maua mara baada ya kutua katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Jomo...
2 Reactions
106 Replies
14K Views
Kwa miaka ya karibuni ushindani wa kisiasa hapa nchini umeimarika sana. Na hili limeifanya CCM kuamka usingizini kwa namna fulani. Pia kuwa imara kwa upinzani kumeifanya CCM iwe walau na umoja...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Katika tukio lingine la hivi karibuni lenye kudhihirisha kasi ya CCM kuibomoa CHADEMA, Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilayani Tarime, kimevuna wanachama wapya 800 ambao awali walikuwa ni wanachama na...
0 Reactions
78 Replies
8K Views
  • Closed
Masuala ya kuchinja yalianza kwa mwinyi yakajibiwa kirahisi na kuitwa mzee ruhsa masuala ya oic yalianza tangu utawala wa nyerere mkapa mwinyi yakajibiwa kirahisi waisilamu kuto kuwa na imani...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Ndugu zanguni, Nimekuwa nikifuatilia kwa karibu mbinu wanazotumia Chadema kujipatia umaarufu na kugundua kuwa wanatumia mbinu za kizamani sana ambazo zilikuwa zinatumiwa na madikteta wa zamani...
1 Reactions
56 Replies
4K Views
Mchakato wa katiba mpya umeingia doa baada ya udini, itikadi za siasa kutawala. Nimejaribu kujiuliza maswali mengi kuhusu utaratibu mzima wa kutoa maoni, kuunda mabaraza na hatimaye bunge la...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Katika kuelekea mwaka 2015, leo hii ningeulizwa nani anafaa kuwa Rais wa Nchi hii basi kupitia CCM ningechagua bwana Edward Lowassa, sababu kubwa ni uchapakazi wake na pia uvumilivu mkubwa kwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
kauli ya Mwenyekiti wa Taifa wa CCM, Rais Jakaya Kikwete kwamba CCM haitokufa, na pengine wanaodhani hivyo wanaweza kufa wao kabla ya chama hicho tawala kufa. Kwa baadhi yetu tunaosoma siasa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Maneno mengi hayaitajiki, kwa ufupi mtido wa siasa za Chama tawala na serikali yake kwa kuivuruga nchi, watatajana tu. Siri huwa ni ya mtu mmoja akiongezeka wa pili si siri tena. hawa nyumba yao...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…