Lowassa au zitto watoshaa 2015

Lowassa au zitto watoshaa 2015

PhD

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2009
Posts
4,927
Reaction score
4,600
Katika kuelekea mwaka 2015, leo hii ningeulizwa nani anafaa kuwa Rais wa Nchi hii basi kupitia CCM ningechagua bwana Edward Lowassa, sababu kubwa ni uchapakazi wake na pia uvumilivu mkubwa kwa vitendo alivyofanyiwa na aliowasaidia kuingia madarakani lakini wamekosa fadhila na Nchi imeyumba.

Kupitia CHADEMA ningemchagua Zitto, kama kijana msomi lakini mwenye maono na ambaye ameweza kujua siasa za kisayansi kupitia UPINZANI na hivyo kwa wasomi wenye dira wanamuona kama tegemeo katika kuimarisha hadhi ya Tanzania siku zijazo.

Hivyo kampeni hii ingewafaa.

LOWASSA AU ZITTO , WATOSHAA 2015
 
Kimsingi kwa sasa mtu yeyote anaweza kuwa rais wa nchi hii, Mwinyi alijiona kama kichuguu kulinganisha na aliyemtangulia...

Siku za karibuni viatu vya urais vinavalika sana, sio mlima Kilimanjaro tena aloona mzee Mwinyi.......infwakti kwa CCM hata prof. Maji Marefu anaweza kuwa rais sembuse Lowasa???
 
Kuna watu kila wakilala wakiamka wanalowa jasho kila wakimuwaza Dr
 
Back
Top Bottom