Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Arusha nzima ilikaa kimya kumsikilza mbunge wetu akijieleza kwa umakini mkubwa na ufasaha, imefika wakati kila mpiga kura kujiuliza kama mbunge aliyemchagua kuwakilisha jimbo lake ana uwezo wa...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Ndugu wana jamvi najua kuna watu humu wanaweza wasinielewe kuwa naamanisha nini ninapo sema ubabe katika siasa za nchi yetu,lakini naomba niseme tu kuwa nchi yetu sasa imejikuta katika siasa za...
0 Reactions
0 Replies
918 Views
https://soundcloud.com/newsaddict/serukamba#play Just play it!!!!!!!!!!!
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Spika wa Bunge amesema kuwa baadhi ya wabunge wanaandaa hoja ya kuzuia vipindi vya Bunge kuonyeshwa LIVE kwa wananchi! Ninavyochukulia: Huku ni kulewa Madaraka!...Wanataka wachape usingizi bila...
19 Reactions
349 Replies
27K Views
Mwambie mbunge wako "umeibaka demokrasia,umeubaka ustaarabu,umeibaka haki na umeshiriki kwa kiasi kikubwa katika ubadhirifu wa mali za wananchi masikini kwa kugeuza bunge mahali pa mipasho ...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Wadau habari za majukumu. Nimekuwa wilaya ya Morogoro Vijijini kwa muda wa karibu miezi 6 na nimefanikiwa kutembea vijiji kadhaa vya tarafa mbili, Matombo na Mkuyuni. Watu wa kule wamebanwa na...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Najaribu kuangalia Bunge letu linavyoendeshwa naona kabisa kuna udhaifu mkuu na wote mtakubaliana na mimi. Kwa sasa nimehakikisha maneno ya Samweli Sitta kwamba Bunge lake aliloongoza litabakia...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Hii inatokana na kwamba vurugu matusi na vitu vyote vya kipuuzi vinatokea wakati Job Ndugai akiwa kiongozi. Hata sasa amethibi miongozo mingi bila purukushani. Nawasilisha...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nimepita eneo karibu na ghorofa lililoporomoka na kuona lile jingine ambalo mwenyewe aliamriwa kulibomoa bado limesimama dede! Je, amri ya kulibomoa haikuwa sahihi, au kuna zuio mahakamani au ndio...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Waziri mkuu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania alikerwa na tabia ya wanasiasa kufanya kazi kwa kuangalia zaidi uchaguzi wa 2015 badala ya kujikita katika kuwatumikia wananchi akimtolea mfano...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mwananchi wenzangu mimi nakelwa sana na jambo lolote linaloitaji uwazi na hatua zichukuliwe halafu mtu tuliyempa dhamana ya kuliweka wazi ndo analificha isivyostaili.kuna mambo mengi yanaitaji...
0 Reactions
0 Replies
962 Views
Nini hatma ya wabunge kufukuzwa bungeni?. Wanakatwa posho au wanakwenda mapumzikoni?. Au ni kama adhabu za kitoto, mimi sichezi na wewe leo.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
ili kuonesha kwamba mnayoyasema mnayamaamisha mwambie spika amchukylie hatua serukamba nkamia mwigulu nchemba ikiwezekana pendekeza wasimamishwe vikao siku 5 ndipo mtakuwa na authority ya kukosoa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Rubani wa Mkuu wa Kaya anastahili hii . So far ameweza kumrusha fastjet wetu mpendwa from South to North and East to West . Kama kweli safari hizo zilizotajwa humu mtandaoni,basi huyu pilot ni...
0 Reactions
2 Replies
942 Views
Wabunge wa CCM, acheni kufanya kazi ya Nape; Nape afanye kazi yake na sisi tufanye yetu. Hatupo humu bungeni kufanya kazi ya Uenezi wa chama chetu hapana, tupo hapa kutetea wananchi waliotuchagua...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kiti cha spika wa bunge kinaweza kukaliwa na yeyote na kusiwe na tatizo lolote, lakini majukumu ya spika wa bunge hayawezi kutimizwa na mtu ambae kichwa chake kinaongozwa na ubongo wa mtu...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Anaendelea na hotuba anasema haijazungumzia ajira, kilimo, afya,vijana wala haijagusa mambo muhimu yanayowakabili wananchi maskini wa tanzania kwa sasa. anasema ANAMSHANGAA MBOWE katika hotuba...
5 Reactions
223 Replies
17K Views
Wana bodi mnaofuatilia Bunge moja kwa moja tusaidieni kutujuza leo maswali anayoulizwa Wazili mkuu na mjibu yake.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
NINI HATMA YA WABUNGE KUFUKUZWA BUNGENI?. WANAKATWA POSHO AU WANaKWENDA MAPUMZIKONI?. AU NI KAMA ADHABU ZA KITOTO, MIMI SICHEZI NA WEWE LEO.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Nape Nauye, amesema kuwa jambo lolote ambalo linaleta heshima kwa Bunge analiunga mkono. "Suala la Bunge kurushwa ‘live' halirushwi...
0 Reactions
173 Replies
14K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…