Anasema anasikitika sana serikali kuitwa impotent.
Spika anamkatisha na kumwambia asilitamke neno hilo.
Yeye anasema na wao mawaziri ni wanadamu, nao wana nyongo....wanauwezo wa kujibu...
Yaani kweli Bungeni ukuwasema wapinzani kwa lugha mbaya unasifiwa, kama jana Mkamia alivyoendelea baada ya kumtukana Sugu, leo Filikunjombe kalazimishwa kutoa neno miwani ya Mbao, ila ndo hivyo...
Kwa hali ya siasa ya hivi sasa na jinsi ninavyoliona Bunge hivi sasa ni heri nisipige kura ili niwe na amani. Tunaowachagua ndio hawa wanaoleta tafrani bungen na kusababisha matatizo wa watu wasio...
ONYO Kwa TAIFA hili Kama VIONGOZI hawatobadilika
SI Daktari bingwa,Hospital nzuri kubwa
ziletazo AFYA NJEMA kwa watu.
Si chama kizuri cha siasa, Majeshi makubwa sana
yaletayo amani kwa nchi.
Siyo...
Mkuu wa wilaya ya lushoto bwana maggid mwanga amewaonya watumishi wa umma wote wanao ishabikia chadema wilayani lushoto, amedai anasikitishwa na ushindi wa chadema katika vijiji kadhaa wilayani...
Salamu kwako Mh. Mwigulu L.Nchemba (Mb). Naamini wewe ni mmoja kati ya wadau wa JF, hivyo utasoma moja kwa moja ujumbe wangu kwako, au kama hutosoma basi watu wako watasoma na kukupa taarifa...
Mfumo Kikwete: Ni mfumo kabambe na mahsusi ambao umeelemea kujenga na kutetea maslahi ya tabaka dogo la watu walio kwenye madaraka au marafiki na walioko kwenye madaraka kwa kutumia rasilimali za...
Huyu Dictator aliwainamisha raia wake wakawa kama kondoo lakini walipoamka walimchinjilia kwa mbali ule mwaka 1989 katika Velvet Revolution.Sasa viongozi wa Afrika wanajifunza au kwao historia si...
Sisi wapiga kula wako, jana umetudhihilishia kuwa wewe ni kidume kweli,fanya kazi,fanya tukichokutuma,fanya kama unavyofanya huku,na fanya kama ss wapiga kula wako tunavyofanya, zidi fanya kama...
Nimefuatilia kwa karibu miezi minne sasa namna ambavyo vyomba vya habari binafsi na hata vya serikali jinsi vinavyofanya kazi.hakuna asiejua kwamba mmiliki wa star tv na rfa ni mwenyekiti wa ccm...
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo kimeanzisha mpango mkali wa kuikaba CCM kwenye vijiji na mitaa. Baada ya kufanya maandalizi ya vitini na vifaa vya kufanyia mafunzo leo mafunzo hayo yamezinduliwa...
Jana Wananchi walishuhudia kituko cha ajabu sana, wananchi walishuhudia ni kwa namna gani Bunge limekuwa chombo cha kutetea chama kinachotawala na kujaribu kutumia "Kanuni" kuzima sauti za...
Kwa jinsi hali inavyoendelea katika Bunge letu "tukufu" sasa hivi, ni dhahiri Mh. Samuel Sitta, kwa kuliongoza Bunge kwa kiwango ambacho kilipewa heshima, ameliua kabisa Chama Cha Mapinduzi...
Hii ni baada ya mbunge wa (CCM) Serukamba kutukana tusi kubwa F*ck U bungeni na Naibu spika kupotezea. Hali hiyo imeleta gumzo kila kona ya mtaa kuwa wabunge wa CCM wanatumia kiti cha spika na...
Akizungumza katika jambo TBC Mh Mnyaa amesema tatizo sio kiti cha spika tatizo ni yule anayeongea zaidi ya mara 15 bungeni hali akiwa ameonywa mara nyingi zaidi na kiti, lakini bado huyu ndiye...
Hapa Dodoma,mambo yanazidi kupamba moto. CHADEMA ikiwakilishwa na Wabunge wasiofikia 50 Bungeni kati ya karibu Wabunge 300 wa Bunge zima,inachachafya Bunge,inatoa hoja nzito,inasema kweli daima...
Hivi tunaanzaje, na tunajiamini nini mpaka tunafikia hatuasi ya kuwaita atu wengine MBWA? Je m,buge anaposema anaongea na mwenye mbwa na wala si mbwa sentensi ka hiyo inaashilia nini huko...