Noel france
JF-Expert Member
- Oct 8, 2012
- 1,159
- 1,056
Kwa maslai ya taifa bunge limekosa adhi ya kuendelea kuwapoa hadi kufikia atua hii tuliyonayo sasa. Kwanza kabisa Mweshmiwa waziri mkuu astaili kuendelea kuwapo na wadhifa wake wa uwaziri mkuu labda wa ubunge aliopewa bure pasipo kupingwa just why anashindwa kuwajibika kwa wananchi! Kwa toka amachaguliwa kushika wadhifa wa uwaziri mkuu amekuwa wa kuambiwa na kushtumiwa ya kwamba anasema uwongo na kuliongopea bunge ingawa awo wanaosema waziri mkuu anasema uwongo wakiambiwa walete ushahidi na wao wakipeleka hakuna atua zozote zinazochukuliwa zaidi ya ushahidi unakaliwa na kisha kufutwa na kisha kiti cha spika kutumika kuondoa hoja zote zenye mantiki kwa taifa.Mfano wa hoja ambazo zinamuonesha waziri mkuu kulidanganya bunge na ulimwengu kwa ujumla ni kuhusiana;
1)hoja na mbunge wa Arusha Godbless Lema.Kuhusu waziri mkuu kulidanganya bunge juu ya mauaji yaliyofanywa na jeshi la police katika maandamano ya amani yaliyofanywa na chadema.
2)hoja nyingine ni mapendekezo ya mabadiliko ya katiba mpya yaliyowasilishwa na CHADEMA.Kwani kuna pingere kinachotaka baraza la katiba la wilaya linachaguliwa na WDC kitu ambacho si kweli. Pia CHADEMA haikupeleka mapendekezo ya mabadiliko ya katiba awamu ya pili kitu ambacho si-cha kweli,kwani mh.Mnyika amesibitisha yeye mwenyewe ndio aliyepeleka.
3)hoja nyingine kuhusu vifo vya maalbino kwani hakuna hukumu yeyote iliyoweza kutolewa na kufwatwa kulingana na sheria zetu za Tanzania kuhusiana na mtu yeyote anayehusika na mauaji ya raia mwengine.Ingawa siku ile aliamua kuwahada watanzania kwa kujifanya ameguswa na ameumizwa kutokana na mauaji ya kinyama yanayofanywa na watu wachache kwa manufaa ya kwao binafsi.
Kutokana na hoja ya mweshmiwa waziri mkuu kuendelea kushtumiwa kuliongopea taifa anakosa haki ya kuendelea kuwapo kwenye ofisi ya uma na kuendelea kuwatumikia wananchi ambao wanasikiliza ile last say ya mh.Pinda as the head of ministers in the parliament of Tanzania. Pia bunge limekosa haki ya kuwepo bungeni kutokana na matusi na ngonjela zao wanazozifanya bungeni.