Nimekuwa mfuatiliaji mzuri wa vikao vya Bunge kupitia TBC na Star TV, kuna jambo nilelinote, nikaona sio vibaya nikiwashirikisha wanabodi.
Spika Sita ni mbabe katika uendeshaji wa vikao vya...
Dodoma. Mbunge wa Viti Maalumu, Azza Hamad (CCM) jana aliyakataa majibu ya Serikali kuhusu visima vyamaji katika Mji wa Tinde kuwa yalitolewa bila ya kufanyiwa utafiti.
Hamad alitoa kauli hiyo...
Na
Privatus Karugendo
Gazeti la Raiamwema: Toleo la 290 , April 17, 2013
Kwa ufupi ni kwamba kulikuwa na mambo mengi ya kujifunza kwenye tamasha la tano la kitaaluma la Mwalimu Nyerere...
Nimesikitika kwa yanayotoke bungeni huku naibu spika akichekelea; kwa kuruhusu wabunge wa CCM wawaite nguruwe, wakristo wanaongozwa na mchungaji Msigwa.
Ni bahati mbaya kwamba viongozi wetu...
Mimi ni mpinzani mkubwa wa ukabila na udini.
Lakini nalazimika kuhoji kuhusu ukabila wa watu wawili nchi hii ambao ni chanzo cha utekaji, ung'oaji kucha ma meno na udhalilishaji kwa demokrasia na...
Wakuu!
Heshima kwenu.
Kwa siku kadhaa baada ya kufuatilia mikutano ya Bunge la Bajeti sikuamini macho na masiko yangu baada ya kuona kwamba CCM kuanzia asubuhi mpaka jioni kila siku, ina kazi ya...
Very true kuna wakati hoja za lema ni za vijiweni kabisa wasira kaongezea kuwa lema hana ufahamu kuwa rais ni taasisi kivipi inalea udini vijiweni huwa wanaongea sana rais rais daah shule muhimu...
Tunaugua na kuhitaji damu hospital huwa hatulizan hii damu ni ya Mkristo au Mwislamu? Jibu ni hapana, basi ni mpango wa M/ MUNGU naomba tusibaguaene. Maana hakuna hewa ya mwislam wala mkristo...
Habarini wana jf,
Hakika miongoni mwa wananchi wa kuigwa na kupigiwa mfano ni wa jimbo la Singida Mashariki, wametuchagulia mbunge mzalendo, mwenye uelewa wa mambo na pia mwenye uchungu na taifa...
Ma ajabu mengine ya Serikali ya CCM,
Waziri Lukuvi alisema zile bilioni moja zimetengwa kwajili ya kunua eneo la hekta 129 zilizopo eneo la Iyumba mkoani Dodoma ili liwe linatumika kwa mazishi...
Mwasisi wa chadema mzee. mtei popote ulipo nakuomba uchukuwe hatua ya kukemea na kuwakataza WABUNGE WA CHADEMA kuleta fujo ktk bunge hakutusaidi na badala yake wawatumikie wananchi kwa kujenga...
Ndugu zangu,napenda kujuzwa kama ilishawahi kutokea hapa duniani serikali kutenga mamilioni kwa ajili ya mazishi,na kutenga mamia ya ekari maalum kwa kuzika viongozi,ni nchi gani nyingine duniani...
Mamlaka ya mawasiliano nchini TCRA imetangaza mgogoro na wale wote ambao watabainika kujaribu kutumia ama kuuza namba ya simu ikiwa hazijasajiliwa .
Source ITV
Natumaini wataenda mbali...
Nimekaa hapa nasikiliza kikao cha Bunge ikikaa kama Kamati ikipitia bajeti mojawapo vifungu baada ya vifungu na kuvipitisha (kimsingi ndio wanapitisha bajeti yenyewe hasa). Sasa, kuna vifungu...
Tunachoshuhudia Bungeni siyo demokrasia kazini, bali domoghasia kazini. Ninalaani vikali udhaifu wa Bunge (Spika na Naibu wake), upendeleo, na lugha za kihuni za baadhi ya wabunge (wa vyama...
Wanajamvi
Wageni waalikwa Mwanaharakati Marcus na Ndugu Rodrick wa haki za binadamu. Wameonyesha wasiwasi wao kwa wanaongoza bunge kwani wamefafanua kanuni ziko wazi na kwanini wabunge...
Arusha black list ndio wanashughulikiwa sasa.....jk alikuja akafanya mazoezi asubu tena kwa miguu....
Unajua sababu ya jk kuja kufanya jog kwa miguu arusha mnaijua?
Tena akiwa ameongozana na...
Najua kanuni,mwongozo,waraka au sheria ndogo haiwezi kuwa na elekezo lolote limalopingana na sheria mama.sheria inayoruhusu uwapo wa vyama vingi inatamka wabunge watachaguliwa kupitia vyama vya...
Huyu mama wa sasa na hawa wasaidizi wake duh wameshindwa kulimudu bunge kabisa. Wamekuwa washabiki wa upande mmoja badala ya kuwa viongozi wenye kutokuwa na upande wowote.