che nyangata
Member
- Apr 14, 2013
- 5
- 1
Tunaugua na kuhitaji damu hospital huwa hatulizan hii damu ni ya Mkristo au Mwislamu? Jibu ni hapana, basi ni mpango wa M/ MUNGU naomba tusibaguaene. Maana hakuna hewa ya mwislam wala mkristo? Basi tupendane, na mwisho wa siku wote tunachimbiwa shimoni na kifusi cha udongo kinakuja juu, hakuna mkristo wala mwislam anayejuwa kuwa atakufa lini? Ni mipango ya M/MUNGU. Kwahiyo ndugu zanguni waislam na wakristo musikubali kudanganywa. AMANI yetu ikatoweka kwa maslahi ya watu wachache. Tuendelee kuvumiliana, ili tukiache kizazi chetu kikiwa salama kama tulivyoachwa tukiwa salama. M/MUNGU awabariki AMINA.