Hongereni wananchi wa Singida Mashariki, kwa kutuletea mbunge wa taifa

ungonella wa ukweli

JF-Expert Member
Mar 27, 2012
4,210
555
Habarini wana jf,

Hakika miongoni mwa wananchi wa kuigwa na kupigiwa mfano ni wa jimbo la Singida Mashariki, wametuchagulia mbunge mzalendo, mwenye uelewa wa mambo na pia mwenye uchungu na taifa letu, huyu si mwingine bali ni ndugu Tundu lissu, binafsi nawaonea wivu sana wana Singida Mashariki, Lissu ni jasiri na hana unafiki.

Tungekuwa na kina Lissu wengi bungeni taifa letu lingenyooka kwa maendeleo na pia lingekuwa la kupigiwa mfano Afrika Mashariki. Ingawa wabunge wengi hasa wa CCM wanamuona kama mbunge mkorofi, watanzania wengi mitaani wanamuona lissu kama jasiri na mkombozi wao! Lissu akiwa bungeni kweli utaiona kazi yake, hana muda wa kusinzia kama kina john komba na wengineo.

Hongereni tena wana Singida Mashariki, tutaiga mfano wenu mwaka 2015!
 
mkuu kuna uwezekano mkubwa kwamba wakati unazaliwa ulichelewa kulia (LOW APGAR SCORE)

Habarini wana jf, hakika miongoni mwa wananchi wa kuigwa na kupigiwa mfano ni wa jimbo la singida mashariki, wametuchagulia mbunge mzalendo, mwenye uelewa wa mambo na pia mwenye uchungu na taifa letu, huyu si mwingine bali ni ndugu Tundu lissu, binafsi nawaonea wivu sana wana singida mashariki, lissu ni jasiri na hana unafiki. Tungekuwa na kina lissu wengi bungeni taifa letu lingenyooka kwa maendeleo na pia lingekuwa la kupigiwa mfano afrika mashariki. Ingawa wabunge wengi hasa wa ccm wanamuona kama mbunge mkorofi, watanzania wengi mitaani wanamuona lissu kama jasiri na mkombozi wao! Lissu akiwa bungeni kweli utaiona kazi yake, hana muda wa kusinzia kama kina john komba na wengineo. Hongereni tena wana singida mashariki, tutaiga mfano wenu mwaka 2015!
 
Sisi tuliomchagua Lissu huku singida tunajivuna sana na tunampenda sana tunataka awe mbunge wa maisha. Tatizo ni kwenu mliomchagua Serukamba mtajuta kwa mitus
 
Humu ndani kuna vidampa wa NAPE kazi yao kupiga propaganda bila kushirikisha ubongo IQ yao ni ndogo zana, =lakini hawa jionei aibu, Umpende usimpende Lisu ni jembe na CCM wanajua!
 
Jakaya alilijua swala hila ndo maana
2010 aliwambia ni bora yeye kukosa urahc kuliko lissu kuingia bungeni.... Nimeamin kweli lissu kboko ya magamba....mpaka kieleweke mwaka huu...sema ilitakiwa wabunge wa cdm wote watoke bungeni kumpa support lissu
 
kumbe wewe ni wahuko ndo maana upeo wako ni mdogo sana.Hamna maendeleo kabisa shule hampendi mmebakia uchawi tu
Sisi tuliomchagua Lissu huku singida tunajivuna sana na tunampenda sana tunataka awe mbunge wa maisha. Tatizo ni kwenu mliomchagua Serukamba mtajuta kwa mitus
 
Sisi tuliomchagua Lissu huku singida tunajivuna sana na tunampenda sana tunataka awe mbunge wa maisha. Tatizo ni kwenu mliomchagua Serukamba mtajuta kwa mitus
hongereni sana kwa kutuonyesha mfano kwa taifa letu, asanteni, nasi tunajiandaa kumtoa lissu wetu huku kusini mwaka 2015!
 
Habarini wana jf,

Hakika miongoni mwa wananchi wa kuigwa na kupigiwa mfano ni wa jimbo la Singida Mashariki, wametuchagulia mbunge mzalendo, mwenye uelewa wa mambo na pia mwenye uchungu na taifa letu, huyu si mwingine bali ni ndugu Tundu lissu, binafsi nawaonea wivu sana wana Singida Mashariki, Lissu ni jasiri na hana unafiki.

Tungekuwa na kina Lissu wengi bungeni taifa letu lingenyooka kwa maendeleo na pia lingekuwa la kupigiwa mfano Afrika Mashariki. Ingawa wabunge wengi hasa wa CCM wanamuona kama mbunge mkorofi, watanzania wengi mitaani wanamuona lissu kama jasiri na mkombozi wao! Lissu akiwa bungeni kweli utaiona kazi yake, hana muda wa kusinzia kama kina john komba na wengineo.

Hongereni tena wana Singida Mashariki, tutaiga mfano wenu mwaka 2015!

umenisikitisha,,Huku jimboni hatutamchagua tenas,hakuna jambo aliloahidi akalitekeleza,nyie mnamsifia huku ikungi sisi tunaumia,,hatumtaki tena tena narudia atapata aibu kubwa,mjazeni misifa
 
Jimboni kwake umefika? Badala ya kuhangaika kuleta maendeleo jimbon kwake anahangaika na kiherehere cha kuonekana kwenye tv
 
Kichwa kimoja cha LISSU nisawa na kina Lukuvi 30! Kazi wanayo magamba kwa jembe Lissu.
 
Msifuni lakini Huku jimboni asirudi tena hatuna maji,hatuna walimu,badala kututetea anahangaika oooh,kanuni,oooooh,mwongozo,pumbavu,tulimtuma kuomba muongozo sisi?
 
Ukweli utabaki kwamba Mh. Tundu Lissu ni mzalendo, jasiri na mahiri katika shughuli zake. Nchi hii ili ipige hatua tunahitaji watu kama Lissu na vijana wa CDM kama akina Mnyika, Wenje, Godbless and the list goes on.... Wanaoiponda CDM wanajipendekeza kwa CCM kwa sababu za maslahi yao binafsi na hawaitaki TZ mema. Very BID UP, Tundu Lissu!
 
I wish Wasukuma,Wanyakyusa au makabila mengine makubwa wangekuwa na mtu kama huyu.Nchi ingekombolewa mara moja
 
Ukweli ni kwamba maneno hayatusaidii wapiga kura wake,wewe haikai Hulu jimboni,,hali yetu ni dunk,,wengi hatujasoma alitakiwa atusaidie kututetea kupata waalimu,amekazania mwongozo wa spika hatumtaki mpeni jumbo la taifa ,,njoo sambaru,njoo mwau,njoo dungunyi,mbunge haonekani mnatetea ujinga hatumtaki
 
Msifuni lakini Huku jimboni asirudi tena hatuna maji,hatuna walimu,badala kututetea anahangaika oooh,kanuni,oooooh,mwongozo,pumbavu,tulimtuma kuomba muongozo? Kumbe wanajf tunatakiwa kupimwa 'mental illness, mental, disorder, haipingiki lisu ni mbunge wa taifa zima, unataka wabunge wanaomaliza kipindi cha bunge wakiwa na sugu viganjani kwa sababu ya kupiga makofi kwa kupitisha hoja za pumba. Nakusaidia tu kwa sababu sikujui, naogopa kubishana na waathirika wa kawambwa 2012 taifa zima.
 
Ungonella wa ukweli,
Naunga mkono hoja; ni matumaini yangu kwamba siku moja Lissu atatinga ikulu kama rais wa nchi yetu kurudisha taifa katika mstari; long live Lissu na mungu akuongoze na kukulinda;

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
umenisikitisha,,Huku
jimboni hatutamchagua tenas,hakuna jambo aliloahidi akalitekeleza,nyie
mnamsifia huku ikungi sisi tunaumia,,hatumtaki tena tena narudia atapata
aibu kubwa,mjazeni misifa

mlitaka awafanyie nini hasa kama sio kuwasemea matatizo yenu bu geni! anayepaswa kufa nya yote hayo ni serikali inayokusanya kodi vinginevyo mchgue mafisadi waliowaibia pesa zenu
 
Back
Top Bottom