Enyi Wanyiramba Mbona mnatutesa?

Kamende

JF-Expert Member
Mar 1, 2008
416
0
Mimi ni mpinzani mkubwa wa ukabila na udini.

Lakini nalazimika kuhoji kuhusu ukabila wa watu wawili nchi hii ambao ni chanzo cha utekaji, ung'oaji kucha ma meno na udhalilishaji kwa demokrasia na haki za raia.

Hawa ni pamoja na Mwigulu Nchemba na Ramadhani Ighondu.
Sijui hawa watu kwa nini wana kiu kali sana ya damu. Wamekuwa wakitajwa kwenye mauaji, utekaji na utesaji kwa namna ya ajabu. Kila wakati hasa Mwigulu amekuwa akijibidiisha kutengeneza propaganda dhidi ya CHADEMA.

Cha kushangaza mno ni namna serikali na system inawalinda kwa gharama zote baada ya kufanya uhalifu huu mkubwa. Vyombo vyote vya dola vinawalinda kupita kiasi. Ikulu inawalinda na kuwakumbatia. Wana nguvu gani hadi kufikia kufanya wanachofanya?

Najua Wanyiramba ni watu wema na wakarimu sana. Lakini hamuoni kwamba hawa watu wanaharibu kabisa jina la Wanyiramba?
 
Apr 15, 2013
12
0
Kaka mimi pia ni mtu wa kabila hilo tena kwa jina la kabila letu(kimila) naitwa NSALAMBE (Maana yake nilizaliwa wakati wa mavuno,kipindi ambacho watu wanafuraha, wanakunywa na kula walichokivuna ikiwepo magae ma nkata [tongwa], ntolo [pombe] na kucheza ngoma inayoitwa mmbutu...) kwa kawaida sisi tuna utamaduni wetu, ustaarabu wetu, tabia zetu, mizengwe yetu na mizaha yetu an hata nasaba zetu....tunazithamini na kuzitukuza LAKINI hao uliowataja [mwigulu na ingodu] japo majina yao NI kweli yanasadifu watu wa huko, i am sure ni WANYIRAMBA WA kimjini-mjini tu! kwa sababu hawana sifa nilizozitaja hapo juu!....HAWA WATU SIO MSAADA KWA WATU WAO WENYEWE [JIMBO], KWA TAIFA LETU, KWA CHAMA CHAO PIA...tulitegemea kuona kwa elimu walizonazo wanabeba DHIMA ya kuipigania NCHI katika namna ambayo hata sisi wanyiramba tawe PROUD na kazi zao!...kabila hili LETU bado lina watu mahiri wenye KUTUMIA TAALUMA ZAO kwa maslahi ya taifa hili Mfano DR.KITILA MKUMBO! taifa hili lina makabila mengi zaidi ya 100, binafsi naupenda sana mchanganyiko huu, [mchanganyiko wa makabila yenye upendo dhidi ya makabila mengine, kutaniana na hata kuoana, Haa haaa haaah maana dada yangu pia ameolewa na MUHA wa kigoma, nami nawapenda WASUKUMA nadhani nitaoa huko pia) makabila yote katika umoja wao wachangie kutoa watu wenye tija kwa taifa kwa ujumla ila nachelea kusema sisi "TUMEBUGI" kutoa mwanya kwa akina Mwigulu! still bado hatujaona popote wamesaidia katika maeneo yoyote, zaidi ya mmoja kugeuza bunge letu TUKUFU kuwa sehemu ya muziki wa taarabu na yule mwingine kung'oa watu meno na kucha kwa kutumia koleo......kaka wanyiramba tuna ustaarabu wetu lakini kwa watu hawa ZERO!
 
Mlengo wa Kati

JF-Expert Member
Feb 16, 2011
2,731
0
Mimi ni mpinzani mkubwa wa ukabila na udini.

Lakini nalazimika kuhoji kuhusu ukabila wa watu wawili nchi hii ambao ni chanzo cha utekaji, ung'oaji kucha ma meno na udhalilishaji kwa demokrasia na haki za raia.

Hawa ni pamoja na Mwigulu Nchemba na Ramadhani Ighondu.
Sijui hawa watu kwa nini wana kiu kali sana ya damu. Wamekuwa wakitajwa kwenye mauaji, utekaji na utesaji kwa namna ya ajabu. Kila wakati hasa Mwigulu amekuwa akijibidiisha kutengeneza propaganda dhidi ya CHADEMA.

Cha kushangaza mno ni namna serikali na system inawalinda kwa gharama zote baada ya kufanya uhalifu huu mkubwa. Vyombo vyote vya dola vinawalinda kupita kiasi. Ikulu inawalinda na kuwakumbatia. Wana nguvu gani hadi kufikia kufanya wanachofanya?

Najua Wanyiramba ni watu wema na wakarimu sana. Lakini hamuoni kwamba hawa watu wanaharibu kabisa jina la Wanyiramba?
Mwenye tabia hiyo ni Lwakatare! Yupo segerea anatumia debe kwa haja kubwa na ndogo na kupiga chafya za aina zote
 
Apr 15, 2013
12
0
mrengo wa kati! unaweza kuacha tabia ya mwenzio mwigulu na ukajaribu kujenga hoja? maana twaweza kuwa watu wa upande huo!
 
OKW BOBAN SUNZU

JF-Expert Member
Aug 24, 2011
29,052
2,000
Ighondu ni Mnyaturu, ila dhambi za Mwigulu achomwe moto pekeyake usituusishe wanyiramba wote. Naweza sema Wanyiramba wanajitesa wenyewe kwa kuendelea kuichekea CCM wakati ukiorodhesha kero 1,000,000 za Tz hakuna ambayo mwana Iramba hamgusi. ''Iramba nkulu kuliko Tz'' Mungu saidia
 
  • Thanks
Reactions: ram

Kule kwa Lissu hawana mateso kabisa,wana maji kila nyumba,barabara za lami hadi milangoni jimbo lote,wana TV kila familia,wana kiwanda cha nguo,kila raia analipwa posho ya kujikimu kwa mwezi,kila mwanafunzi shule ya msingi ana laptop,maziwa yanatoka kwenye mabomba,hakuna nyumba ya tembe,kijana akioa anapewa milion 5 za kuanzia maisha,.......Lissu kamaliza kazi zake zote jimboni sasa anatetea maslahi ya Chadema bungeni! Wabunge wa Chadema igeni uchapa kazi wa Tundu Lissu kamaliza kazi yote kwa miaka miwili tu!
 
More Tiz

JF-Expert Member
Mar 28, 2013
2,233
1,195

Imeeleweka unafanya kazi ya kupangua hoja na si kujadili. Hebu tunaomba mchango wako juu ya uzi. kama huna mchango tumia macho na mikono iscrow back kwenda uzi mwingine ambao utakuwa na mchango.
 
BONGOLALA

JF-Expert Member
Sep 14, 2009
16,518
2,000
Hao uliowataja wametoka ktk umasikini wa kutupa,hapo walipofikia hawakutegemea ktk maisha yao!hivyo watakachoambiwa na muajiri hata kama ni kibaya watatekeleza
 
KYALOSANGI

JF-Expert Member
Jan 21, 2011
3,533
2,000
Mimi ni mpinzani mkubwa wa ukabila na udini.

Lakini nalazimika kuhoji kuhusu ukabila wa watu wawili nchi hii ambao ni chanzo cha utekaji, ung'oaji kucha ma meno na udhalilishaji kwa demokrasia na haki za raia.

Hawa ni pamoja na Mwigulu Nchemba na Ramadhani Ighondu.
Sijui hawa watu kwa nini wana kiu kali sana ya damu. Wamekuwa wakitajwa kwenye mauaji, utekaji na utesaji kwa namna ya ajabu. Kila wakati hasa Mwigulu amekuwa akijibidiisha kutengeneza propaganda dhidi ya CHADEMA.

Cha kushangaza mno ni namna serikali na system inawalinda kwa gharama zote baada ya kufanya uhalifu huu mkubwa. Vyombo vyote vya dola vinawalinda kupita kiasi. Ikulu inawalinda na kuwakumbatia. Wana nguvu gani hadi kufikia kufanya wanachofanya?

Najua Wanyiramba ni watu wema na wakarimu sana. Lakini hamuoni kwamba hawa watu wanaharibu kabisa jina la Wanyiramba?
kamanda unalonga ukweli ni aibu kuwa na mbunge kama huyu .....tunalifanyia kazi na matokeo yako uatayaona!
 
decruca

JF-Expert Member
Jun 18, 2012
295
195
uzi wa ukabila sijaupenda, hapa tukianza kuangaliana kila mtu katoka kabila gani bac itakuwa kazi. hizo ni tabia za mtu binafsi na si wanyiramba, au kabila fulani. Mwigulu na ramadhani si kabila moja. Tundu lisu na Ramadhani ni kabila moja lkn kwani wanafanana kitabia? Mwigulu na Dr. Kitila Mkumbo ni kabila moja kwani wanafanana kitabia? acha hizo bana leta uzi wenye maana. Mwi
 
  • Thanks
Reactions: ram

BONGE BONGE

JF-Expert Member
Oct 19, 2011
3,713
2,000
Mimi ni mpinzani mkubwa wa ukabila na udini.

Lakini nalazimika kuhoji kuhusu ukabila wa watu wawili nchi hii ambao ni chanzo cha utekaji, ung'oaji kucha ma meno na udhalilishaji kwa demokrasia na haki za raia.

Hawa ni pamoja na Mwigulu Nchemba na Ramadhani Ighondu.
Sijui hawa watu kwa nini wana kiu kali sana ya damu. Wamekuwa wakitajwa kwenye mauaji, utekaji na utesaji kwa namna ya ajabu. Kila wakati hasa Mwigulu amekuwa akijibidiisha kutengeneza propaganda dhidi ya CHADEMA.

Cha kushangaza mno ni namna serikali na system inawalinda kwa gharama zote baada ya kufanya uhalifu huu mkubwa. Vyombo vyote vya dola vinawalinda kupita kiasi. Ikulu inawalinda na kuwakumbatia. Wana nguvu gani hadi kufikia kufanya wanachofanya?

Najua Wanyiramba ni watu wema na wakarimu sana. Lakini hamuoni kwamba hawa watu wanaharibu kabisa jina la Wanyiramba?
......(penye blue) huna lolote, na sijui umefanya utafiti kwa kiwango gani hadi kuja na generalization za kiwango cha chini kiasi hicho....

Mwenye tabia hiyo ni Lwakatare! Yupo segerea anatumia debe kwa haja kubwa na ndogo na kupiga chafya za aina zote
.......well said big boy.

Ramadhan ighondo ni mnyaturu
.....awe mnyaturu, mnyiramba, mmanyema, ------ nk; cha msingi hapo ni kwamba kazi aliyotumwa, aliikamilisha sina hakika ni kwa kiwango gani
 
Ukwaju

JF-Expert Member
Oct 19, 2010
11,354
2,000
Kule kwa Lissu hawana mateso kabisa,wana maji kila nyumba,barabara za lami hadi milangoni jimbo lote,wana TV kila familia,wana kiwanda cha nguo,kila raia analipwa posho ya kujikimu kwa mwezi,kila mwanafunzi shule ya msingi ana laptop,maziwa yanatoka kwenye mabomba,hakuna nyumba ya tembe,kijana akioa anapewa milion 5 za kuanzia maisha,.......Lissu kamaliza kazi zake zote jimboni sasa anatetea maslahi ya Chadema bungeni! Wabunge wa Chadema igeni uchapa kazi wa Tundu Lissu kamaliza kazi yote kwa miaka miwili tu!
SAFI SANA hawa watu wanadhani Mbunge huyu kuishi DSM na kuonekana kila mara kwenye TV ndiko kusaidia Bunge na nchi nzima kuingia kwenye malumbano yasiyo na maana
Hongera Mwigulu Nchemba kwa kuwakamua hawa ndugu zako Wanyiramba
 
Last edited by a moderator:

Hydrobenga

JF-Expert Member
Jun 24, 2012
1,123
1,195
Acha kujumuisha watu wewe.....
Tumia akili hata Kidogo....

Kama unaona Mwigulu ni mhalifu kwa nini usimseme kama mwigulu....

Hitler alikuwa ni mkristo je hii ina-imply waktristo wote ndio tabia zao ?
Mwigulu ni Mkristo kwa hiyo ina-imply wakristo wote wana tabia unazomhusisha nao Mwigulu ?

Oleliani ....IIZa
 
Kimbunga

Platinum Member
Oct 4, 2007
14,277
2,000
Duh kumbe Wanyiramba shida tupu? Wanapambana wao kwa wao manake Mwigulu akiinuka tu lazima Lissu naye ainuke. Nasikia hawa jamaa (wanyiramba) ni wakorofi na wana damu ya kikurya. Nasikia hao wanyiramba walifukuzwa toka maeneo ya Iramba huko kwa akina Mwita Maranya wakakimbilia mbugani wakapita shinyanga mbio ndio wakafika singida. Wakiendelea na ukorofi tuwarudishe mara wakapambane na ndugu zao wakurya
 
Last edited by a moderator:

Gagnija

JF-Expert Member
Apr 28, 2006
7,835
2,000
Kamende, jaribu sana kujitenganisha na hizi general statements. You can not condemn the whole nyiramba tribe for the crimes of their two kins. Huwezi jua, inawezekana hata wazazi wao wanapingana na mitazamo ya hao watoto wao hasa ukizingatia kuwa wote wawili ni vijana, na wazazi wao bado wana miaka ya kusukuma baada ya ukombozi. Ni mzazi gani kati ya hawa wawili mwenye uhakika na maisha ya mtoto wake baada ya ukombozi? There will be no place to hide.
 
Mlengo wa Kati

JF-Expert Member
Feb 16, 2011
2,731
0
Imeeleweka unafanya kazi ya kupangua hoja na si kujadili. Hebu tunaomba mchango wako juu ya uzi. kama huna mchango tumia macho na mikono iscrow back kwenda uzi mwingine ambao utakuwa na mchango.
Hoja mwigulu jimbo lime mshinda ila kwa Lissu anatoa milion 5 kama kianzio cha maisha kwa kijana yoyote atakae oa! Na shule zote za msingi jimboni kwa Lissu kila mwanafunzi ana laptop! Na hii ni kwa majimbo yote yanayo ongozwa na Chadema! ........
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom