ZigiZaga
JF-Expert Member
- May 18, 2011
- 957
- 1,080
sisi wapiga kula wako, jana umetudhihilishia kuwa ww ni kidume kweli,fanya kazi,fanya tukichokutuma,fanya kama unavyofanya huku,na fanya kama ss wapiga kula wako tunavyofanya, zidi fanya kama wabunge wenzako wa chadema na mtu kama fillip njombe anavyofanya. tuko nyuma nyuma yenu ss watanzania, na tunawategemea sana mtutoe katika janga hili la unyanyaswaji. good bless chadema.