Mkutano wa Kinana huko Ulanga wadoda!

Mkutano wa Kinana huko Ulanga wadoda!

Chibolo

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
5,768
Reaction score
8,041
jamani ulikuwa na watoto tu chini ya miaka 18 sijui wamewatoa wapi pamoja na vikongwe kiujumla ni aibu jamani.
 
Watanzania wamegundua kuwa ccm ni chama cha ushetani.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Teh,teh,teh!Siasa bana!!Lakini acha nao waipate fresh kwani washawafaidi sana watanzania.,Na pia mapambano ya mageuzi yameanza kitambo ni lazima magamba yalainike.
 
Ungeweka picha

He!He!,siku hizi kupiga picha magambani ni soo,tena soo mbaya labda uwe tb-yakwao(tbccm),au wajulikana vyema kwa kupokea bahasha la sivyo utegemee kukutana na yalomkuta mdhungu wa bbc,ukimuuliza kuhusu chemba ilivyolewa kimagamba na kujivika madaraka sio yake utacheka na kumuonea huruma.
MAGAMBA NOMA.
 
Inge sound sana kuliko maneno matupu.
Hao ni propaganda tu hawana jipya wananchi wanajitokeza kwa wingi kumsikiliza mh. Kinana; wanaogopa kuweka picha wanaona maneno yao ni kinyume na itikio la wananchi.
Chama
Gongo la mboto DSM
 
Hao ni propaganda tu hawana jipya wananchi wanajitokeza kwa wingi kumsikiliza mh. Kinana; wanaogopa kuweka picha wanaona maneno yao ni kinyume na itikio la wananchi.
Chama
Gongo la mboto DSM

Hivi mbona wanahudhuria mikutano ya CCM karibu wote wanakuwa na jezi mpya za CCM!!! Hazichakai!!!!!? Au wanagawiwa siku ya meeting??
 
thank god my home town morogoro tumeanza kuamka..

Naipenda sana Morogoro Mkuu. Sidhani kuna mahali katika Tanzania utapata mboga za majani fresh mwaka mzima kama zile mboga za majani kutoka vijito vya ile milima majestic. I really enjoyed my work there for two years. It was beautiful! Wanadamu tungeweza ku-rewind clock ningehamia karibu na Rock Garden nikiwa 35 na kubaki pale for ever!
 
Kinana akuvyoenda ruaha nilikuwa naogopa twmbo wetu..maskini tembo wetu wakimuona kinana wanakimbia, hilu jangili litamaliza tembo wetu.
 
Back
Top Bottom