Kwa Hili CHADEMA wanastahili Kuungwa Mkono

Kwa Hili CHADEMA wanastahili Kuungwa Mkono

Albedo

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2008
Posts
5,558
Reaction score
1,462
Jana Wananchi walishuhudia kituko cha ajabu sana, wananchi walishuhudia ni kwa namna gani Bunge limekuwa chombo cha kutetea chama kinachotawala na kujaribu kutumia "Kanuni" kuzima sauti za Wananchi. Kwa mara nyingine tena wananchi tumeshuhudia kwamba kumbe Spika anapozumngumzia Mamlaka yake ya kikanuni ya kuweza kutumia Polisi kumtoa Bungeni hamaanishi wabunge wote, kumbe kanuni anazozizungumzia madam spika zinalenga Chama fulani tena specifically Wabunge fulani. Hilo limethibitika jana "Bila Chenga"

Muda mfupi baada ya spika Makinda kupiga Mkwara kwamba mbunge yeyote ambaye angetumia lugha ya kuudhi au Matusi "Angeamuru Polisi Wamtoe Nje", Mbunge wa CCM Jimbo la Kigoma Mjini Bw Peter Serukamba aliwaambia wabunge kwamba "Wanafir.wa" ila alitumia kimombo na akasema "Come on .. Fuc.k u" (Mod hili si tusi maana hata bungeni linatumika na limeruhusiwa kikanuni". Baada ya Serukamba kutoa tusi hilo Naibu spika aliona kwamba linafaa kuingizwa katika Hansard za Bunge na kumuacha Mh. Serukamba aendelee bila hata ya kumbwambia aombe radhi wala kufuta akili yake.

Kichekekesho kilikuja pale "Yule Mbunge: ambaye kwaye lile angalizo la Madam Spika lilikuwa linamhusu alipoomba Mwongozo wa Spika. Naibu spika badala ya Kumruhusu yeye akaamuru polisi wamtoe nje kisa "Ana kiherehere na anapenda kuongea sana". Hii ni Lugha ya Kuudhi na isiyovumilika hata kidogo maana tumewatuma wabunge wabungeni ili "Wakaongee"

Sasa najiuliza
1. Ina maana naibu spika anafikiri Watanzania Hawakusikia Serukamba alipolitukana Bunge kwamba "Linafir.wa?
2. Watanzania hao ambao walitegemea Mh. Ndugai kuchukua Hatua Stahiki kwa Serukamba na Hakufanya Hivyo unafikiri Wataliheshimu Bunge?
3. Sasa kali ya Mwaka Watanzania Walewale wakashuhudia Ndugai akiamuru Polisi wamtoe Nje Mbunge kisa anaongea sana. Hivi Ndugai anaona Watanzania ni Mafala sana au. Kwamba Tusi alilotukana Serukamba lilikuwa sawa tu.
4. Kwa Mama Makinda huwa sikuelewi unaposema kwamba Watanzania Wanalalamika Bunge limekosa Heshima. Unafikiri Watanzania hawa hawaelewi sababu ya Bunge kuoksa heshima?

Kwa hili la jana la Tundu Lisu kukataa uonenvu nalipongeza sana na ndio silaha peke yake ya CDM. Mkikubali kupiga Magoti Mkakubali Mkakati wa CCM wa Kuwadunisha MMEKWISHA. Mnaweza kuonekana Wakorofi mbele ya Macho ya Watawala bali kwa Watanzania Wengi you are Heoroes (Ndio Maana hawataki tuone Bunge Laivu)
 
Ni ukweli usiojificha kuwa bunge limegeuzwa taasisi ya kuilinda CCM badala ya kuikosoa na kuisimamia serikali. Makamanda wa CDM nawapa hongera kwa kutokukubali kuonewa. Tusonge mbele.
 
Jana Wananchi walishuhudia kituko cha ajabu sana, wananchi walishuhudia ni kwa namna gani Bunge limekuwa chombo cha kutetea chama kinachotawala na kujaribu kutumia "Kanuni" kuzima sauti za Wananchi. Kwa mara nyingine tena wananchi tumeshuhudia kwamba kumbe Spika anapozumngumzia Mamlaka yake ya kikanuni ya kuweza kutumia Polisi kumtoa Bungeni hamaanishi wabunge wote, kumbe kanuni anazozizungumzia madam spika zinalenga Chama fulani tena specifically Wabunge fulani. Hilo limethibitika jana "Bila Chenga"Muda mfupi baada ya spika Makinda kupiga Mkwara kwamba mbunge yeyote ambaye angetumia lugha ya kuudhi au Matusi "Angeamuru Polisi Wamtoe Nje", Mbunge wa CCM Jimbo la Kigoma Mjini Bw Peter Serukamba aliwaambia wabunge kwamba "Wanafir.wa" ila alitumia kimombo na akasema "Come on .. Fuc.k u" (Mod hili si tusi maana hata bungeni linatumika na limeruhusiwa kikanuni". Baada ya Serukamba kutoa tusi hilo Naibu spika aliona kwamba linafaa kuingizwa katika Hansard za Bunge na kumuacha Mh. Serukamba aendelee bila hata ya kumbwambia aombe radhi wala kufuta akili yake.Kichekekesho kilikuja pale "Yule Mbunge: ambaye kwaye lile angalizo la Madam Spika lilikuwa linamhusu alipoomba Mwongozo wa Spika. Naibu spika badala ya Kumruhusu yeye akaamuru polisi wamtoe nje kisa "Ana kiherehere na anapenda kuongea sana". Hii ni Lugha ya Kuudhi na isiyovumilika hata kidogo maana tumewatuma wabunge wabungeni ili "Wakaongee"Sasa najiuliza1. Ina maana naibu spika anafikiri Watanzania Hawakusikia Serukamba alipolitukana Bunge kwamba "Linafir.wa?2. Watanzania hao ambao walitegemea Mh. Ndugai kuchukua Hatua Stahiki kwa Serukamba na Hakufanya Hivyo unafikiri Wataliheshimu Bunge?3. Sasa kali ya Mwaka Watanzania Walewale wakashuhudia Ndugai akiamuru Polisi wamtoe Nje Mbunge kisa anaongea sana. Hivi Ndugai anaona Watanzania ni Mafala sana au. Kwamba Tusi alilotukana Serukamba lilikuwa sawa tu.4. Kwa Mama Makinda huwa sikuelewi unaposema kwamba Watanzania Wanalalamika Bunge limekosa Heshima. Unafikiri Watanzania hawa hawaelewi sababu ya Bunge kuoksa heshima?Kwa hili la jana la Tundu Lisu kukataa uonenvu nalipongeza sana na ndio silaha peke yake ya CDM. Mkikubali kupiga Magoti Mkakubali Mkakati wa CCM wa Kuwadunisha MMEKWISHA. Mnaweza kuonekana Wakorofi mbele ya Macho ya Watawala bali kwa Watanzania Wengi you are Heoroes (Ndio Maana hawataki tuone Bunge Laivu)

jambo la kushangaz ni naibu spika kufumbia macho tusi la nguoni halafu evening session inaanza na mbunge kuomba radhi...anaomba radhi ya nini wakati kiti hakikusikia?

mbona kiti baada ya kuomba radhi hakikuhoji tusi lilitoka saa ngapi na kanuni zinasemaje ikiwa ni pamoja na kanuni mpya ya juzi ya Semamba?

Ahh....halafu kuna mazubaifu mengi bado yanashabikia

TIME WILL TELL, sasa hivi uelewa unapanda na kizazi kipya fully digitized mtakiweza nyinyi wana ngumbaru na eww??
 
Watanzania ni waelewa kwa matusi haul hakna haya ya kukua na familiar yako kuskliza matusi ya wabunge wenye vtambi. Sasa tuamshie bao la kariakoo bungeni
 
Mkutano wa bunge wa jana uliandaliwa kuwatoa wabunge wa CHADEMA. Hata lile tusi, ulikuwa ni mpango lakini bahati mbaya hakuna aliyesumbuka naye mpaka jioni.
 
kokokokokoko!
za uso tu asaiv, mtoto wangu juzi amerudi shule analia kisa kuna mwenzake kamtania eti yeye ni CCM, hata kabinti kangu kanajua ukiitwa CCM umetukanwa tusi zito kuliko matusi yote duniani.
 
Kwa kweli nawapongeza sana. Vijana watu wa Chadema kwa Kazi nzuri hongereni tuko nanyi msijione wachache bungeni no,tuko wengi tunaowaunga mkono
 
Tatizo siyo kurusha matangazo/vipindi vya bunge 'live' bali ni Makinda na Ndugai kwa kiburi cha kumkomoa sita aliyekuwa anaipaisha ccm na wabunge wake kama Anne Kilango na wenzake. Ila ccm wajue kuwa hatuendi kwa hoja za kukishutumu cdm bali kwa kutatua matatizo yetu ya kila siku. Adhawaizi wi nau wot t2 du in 2015....it iz pipoz pawa ini endi auti; a yu dhea?
 
hata bibi yangu ameliona bungel limepoteza maana..limekuwa bunge la uwez wa chama tawala
 
Double standards!! Ila pia kila mmoja mwenye uchungu na hii nchi fundisha watu wako jinsi ya kufanya uchaguzi 2015.
 
Back
Top Bottom