Hoja za CCM kuwa waeneza udini na ukabila

Hoja za CCM kuwa waeneza udini na ukabila

Joined
Feb 13, 2013
Posts
98
Reaction score
15
Nilifuatili kwa karibu Mh. Wasira akitoa utetezi wake ju ya ccm kupinga udini. Kwa kifupi naomba nimwambie CCM walikinadi chama cha CUF kuwa ni cha waislamu had kikakosa suport. Nakumbuka 2005 wakati wa kampen za uchaguzi katika kijiji cha gologolo shume mkoani tanga wilaya ya lushoto jimbo la mlalo mh. Hassan Ngwiliz alitamka waz kuwa CUF ni chama cha waislamu wasichaguliwe, pia mwaka 2010 mheshmiwa Ngwiliz alisema CHADEMA ni cha wakristo na cha wachaga, Lowassa aliondolewa uwazir mkuu kwa sabab ya ukristo na kikwete hakutaka kumuweka pinda pale bali Mkapa na washauri wengne ndo walimshinikiza. Katka suala la ukabila Nyerere alisema kuwa mchaga na mhaya hawataingia ikulu. Kaul hyo imerudiwa na kiongoz wa UVCCM kuwa rais hawez toka kanda ya kaskazin na rais hajakemea. Je hu c ukabila
 
Back
Top Bottom