Mbunge amechanganyikiwa!

Mbunge amechanganyikiwa!

BONGOLALA

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2009
Posts
16,511
Reaction score
11,918
Mwigulu Nchemba amewataka watanzania wamuombee kwani ana siri kubwa moyoni,hawezi kuisema bungeni eti ataisema mahakamani!MBONA MPAKA SASA HAJAITWA POLISI KUHOJIWA,YEYE KISHAJIPELEKA MAHAKAMANI ???huu ni mpango wa ccm unaolazimishwa kuichafua chadema,sijui kama mahakama watatumika kama polisi
 
Back
Top Bottom