Hivi Mawaziri Wataacha Lini Uongo

Hivi Mawaziri Wataacha Lini Uongo

inspectorbenja

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2012
Posts
662
Reaction score
740
Wadau nimekuwa nikijiuliza hivi mawaziri wa tanzania wataacha lini kuendekeza utamaduni wa uongo,ona madudu yao
1.Membe kuna kipindi alisema fedha za chenji ya lada zingetumika kujenga nyumba za walimu kila wilaya..baadae akabadilisha kauli kimyakiimya akiwa amesahau aliyosema kabla akasema zitanunua madawati nxhi nzima.Lakini mpaka leo hatusikii chochote kuhuusu fedha za lada.Tayari zimeshatafunwaa hizo na magamba.
2.Bila aibu shukuru kawambwa alisimama bungeni na kusema serikali imeshalipa madeni yote ya walimu.tena akadai kuna faili la mwl mmoja lilisumbua akalishughulikia personaly.Ni aibu na janga la kitaifa kuwa na viongozi wanaodanganya uma bila aibu.
 
Sio kosa lao, kuna Semina elekezi wanapewa kabla ya kuanza majukumu, huko ndiko wanakofunzwa mbinu hizi..mfano kuna moja ilifanyika Hapa arusha kwenye hotel inaitwa Ngurdoto!
 
Wanampango wa kuwa waongo zaidi ya hapo unapolalamika kwa sababu ndio wamefundishwa hivo, hakuna chombo cha kuwafanya waseme ukweli.

bahati mbaya sasa bunge limekuwa ni kama kabranch ka serikali
 
Back
Top Bottom