Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ameomba asamehewe kwa kutukana bungeni
0 Reactions
125 Replies
18K Views
Katibu Mkuu wa Chadema Dr Wilbroad Slaa amesema Spika wa Bunge Anne Makinda amekinajisi kiti cha spika. Dr Slaa ambaye ni gwiji wa siasa za Tanzania amemshutumu vikali Spika na Naibu wake kwa...
6 Reactions
136 Replies
11K Views
KWANZA SALAM Nimekuwa nishauri kwa muda mrefu kuwa chadema hakiendi kupiga kampeni vijijini na nimekuwa nikionyesha wasiwasi wangu ni namna gani tutapata ushindi 2015 lakini wana jf wamekuwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wana JF Naomba kwa kina nieleweshwe kile kilichotokea jana, Nilimsikia Spika akikiri kuwa kanununi iliyotumika kuwasimamisha wabunge wa CDM kwa siku 5 kulingana na kosa la kutotii mamlaka ya Kiti...
0 Reactions
50 Replies
4K Views
Tumeshuhudia maamuzi ya Naibu Spika yaliyozua utata na kubarikiwa na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungani wa Tanzania. Lengo langu hapa ni kutoa mtizamo wa kisheria wa kwanini maamuzi ya...
11 Reactions
39 Replies
4K Views
WAKATI Tanzania imetimiza zaidi ya miaka 20 tangu yatokee mageuzi ya kisiasa yaliyosababisha kuruhusiwa kwa siasa za vyama vingi, kuna haja ya kufanya tathmini japo fupi kwa minajili ya...
1 Reactions
0 Replies
804 Views
Tuesday, January 22, 2013 Maafande wa doria wanaotumia pikipiki wakizungumza na baadhi ya wanachma wa CCM wa kata ya Mji Mpya. Aziz Matinga ambaye ni mjumbe wa halmashauri kuu na katibu...
1 Reactions
25 Replies
5K Views
Tangu March 19, 2013, na | Imesomwa mara 12 | Haina maoniNa Raphael GwassaJESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limesita kuweka wazi watu wanaodaiwa kumteka na kumtesa Mhariri Mtendaji...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Mbuge wa Nyamagana Mh. Wenje amewaambia wananchi kuwa wabunge wa CCM hawajui maana yake kwa kulitafasiri eti ni "kutokuwa na uwezo wa kuzaa". Ameshangazwa hata mwaziri hawana uwezo wa kuelewa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu mmeliona tangazo la Mhogo mchungu akiwaomba vijana wa bodaboda kuandamana halafu wao wanamjibu kuwa wamechoka kutumiwa??? Kama umeliona maana yake nini? Nani kafadhili tangazo hili?
1 Reactions
93 Replies
11K Views
Ndugu Abdurahman Kinana Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM akitembelea shamba darasa la wananchi wapatao 180 kutoka Wilaya ya Morogoro Vijijini wanaosimamiwa na kupewa mafunzo ya kilimo...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Nimesikia habari magazetini kuwa mtuhumiwa wa ugaidi ludovic ambae kuna ushahidi kuwa anmawasiliana ya karibu sana na vyombo vya uwt na mwigulu na kuna malipo yaliyofanyikaàmbayo biashara yake...
1 Reactions
172 Replies
15K Views
Ni jana tuu nimerudi toka wailayani kwangu Ludewa, wilaya iliyopo katika mkoa wa ya Njombe ambayo inawakilishwa bungeni na Mhe. DEO FILIKUNJOMBE kupitia CCM, aliyeweza kutoa mchango uliowashtua...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kufuatia Halmashauri ya manispaa ya Tabora kupata hati chafu kutoka kwa Mkaguzi na mdhibiti wa heasabu za serikali (CAG), waziri mwenye dhamana ya TAMISEMI (Hawa Ghasia) amesema manispaa hiyo...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Ni maoni yangu tu kama mwanachama, kwamba chama cha CUF kitafufua imani ya watanzania na huenda kikapata kura za kutosha za urais iwapo kitamsimamisha Julius Mtatiro kama mgombea urais na Magreth...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
http://www.youtube.com/watch?v=7sn5BMNbRbw http://www.youtube.com/watch?v=S-9aEJ-reHY
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Baada ya kuwararua ccm na mbinu zao sas anaendelea na kampeni huko ghadafi kwelinkamanda alisema ccm kwa pani itaondoka leo nimeona ingaa ana watu wa kawaida ila nia hiyo hakika italeta ukombozi...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Walimu nchini wametega sikio kwa serikali juu ya madaraja, posho ya mazingira na mshahara mpya. La sivyo ni mgomo baridi
0 Reactions
55 Replies
6K Views
Swiss 'could adapt' to easing of bank secrecy Swiss banks could adapt to a significant easing of their cherished secrecy practices, but only if global standards are created for information...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mara n yingi nimekuwa siyo mchangiaji wa masuala ya siasa ila haimanishi niko nyuma sana upepo wa siasa z hapa nchini, niombe kuonesha kuwa nachangia kama mwananchi mwenye mapenzi tena ya dhati na...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom