TAARIFA KWA WATANZANIA NA WANACHAMA WA CHAMA CHA KIJAMII ( CCK)
CHAMA CHA KIJAMII ( CCK ) Kinapenda kuwatangazia wapenzi na wanachama wake kote nchini ya kuwa hakuna uchaguzi wowote uliofanyika...
Naomba mtu yeyote mwenye update za kesi iliyokuwa ina mkabili mbunge mmoja wa CCM kutokana na kula rushwa toka kwa mkurugenzi wa Halmashauri mmoja hapa nchi,pia hatua ya bunge dhidi ya huyu mbunge...
Wana Jf leo asubuhi wakati nipo kanisani the first thing after opening my bible i landed on this page and nikaona si vibaya niki'share na nyie.....and i thought these would be wise words to our...
Wajibu wa raisi 1.Kusafiri zaidi ya mara 400 kwa kodi za wananchi.2.Kulalamika kero zinazowakabiri wananchi ilhali ninao uwezo wa kuzitatua kisheria.3.Kuwapa vyeo uongozi kwa vigezo vya...
Siku Kikwete atakaponyanyua mkasi na kukata utepe kuzindua 'Katiba mpya' ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania isiyokidhi matakwa ya watanzania, itakuwa siku mbaya zaidi kwa taifa hili katika...
Sio maneno yangu, Tafadhali soma facts hizi hapa chini:
The Economist Intelligence Unit's 2012 democracy index ranks Tanzania 81st out of 167 countries, continuing the trend of improvement seen...
Nimefikiri niseme nini nikapata shida baada ya kufungua TV na kukuta wabunge wanazungumza kuhusu CHADEMA na si kilichowapelekaa bungeni yaani budget ya maendeleo ya watanzania.
Defensive style...
Katika kupitapita jana mitaani, nilifika Aspen Hotel hapa mwanza, niliwakuta watu 3 wakiwa wajaribu kushare habari iliyoadikwa kwenye gazeti moja.......nilisikia mmoja kati yao akilalamika juu ya...
TBC TV na Radio kesho zitarusha matangazo ya moja kwa moja ya mkutano wa hadhara wa CCM utakaofanyika katika viwanja vya shule ya msingi uwanja wa Ndege mjini Morogoro.
CCM kesho itawasha moto katika mkutano wake wa kuhitimisha ziara ya Sekretarieti mkoani humo ambapo katika muda wa wiki moja wametembelea kila kona ya mkoa huo na kufanya shughuli za kuboresha na...
Wanaharakati na wasomi wameonyesha kusikitishwa na mijadala ya matusi na lugha za kuudhi zinazotolewa na Wabunge mjini Dodoma.
Kutokana na hali hiyo, wamesema hawaoni sababu ya wabunge hao kuitwa...
.....kitendo cha spika wa bunge kuhalalisha adhabu ya wabunge wa chadema na kumuacha mbunge wao akiyetukana tusi lililowatukana pia wapiga kura wake kinadhihirisha jins gan huyu bb n kivuli cha...
Prudence Karugendo
FIKIRIA mbunge anasimama bungeni na kutamka kwa kujiamini, akimlenga mbunge mwenzake, kuwa mimi siongei na mbwa bali naongea na mfuga mbwa! Mwendesha Bunge...
na Mwandishi wetu, Tanga
KADA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Shaban Omari Shemzize, amekihama chama hicho na kujiunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).
Shemzize ambaye pia alikuwa...
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeeleza kukerwa kwake na matukio ya kejeli matusi na uvunjifu wa amani yanayoanza kushamiri bungeni na kusema kuwa matukio hayo ni dhihaka ya hali ya juu inayofanywa...
Wana JF, baada ya kuzuiliwa kuhudhuria vikao vitano vya bunge, magwiji wa siasa wa CHADEMA ambao ni mwiba kwa serikali ya CCM wameamua kutumia muda wa siku hizo tano kupeleka ujumbe kwa wananchi...
NA MWANDISHI WETU
20th April 2013
B-pepe
Chapa
Kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni, Freeman Mbowe.
Kambi rasmi ya Upinzani Bungeni, imeibua kero nzito dhidi ya...
Ni leo jumapili mapokezi ya wabunge wetu wote 6 waliofungiwa kuhudhuria vikao vya bunge kwa siku 5 ambao bila shaka ni 'judicial notes' (wanafahamika).
Ni katika viwanja vya MBUGANI PRIMARY...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.