RB ya LUDOVIC ni fake

RB ya LUDOVIC ni fake

Crashwise

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Posts
22,227
Reaction score
8,761
Nimesikia habari magazetini kuwa mtuhumiwa wa ugaidi ludovic ambae kuna ushahidi kuwa anmawasiliana ya karibu sana na vyombo vya uwt na mwigulu na kuna malipo yaliyofanyikaàmbayo biashara yake bila shaka ni kwa kushiriki kwake kumrekodi kaka yake lwakatare hakutekwa kama alivyo dai na kukata rb,polisi wanashangaa namnaàlivyotekwa na kusema ni yakutunga...
source: rfa
 
Hii movie imepoteza mvuto kwani ni ya kusadikika sana kiasi cha kuwa na kila mwonekano wa hujuma za kisiasa!
 
Nimesikia habari magazetini kuwa mtuhumiwa wa ugaidi ludovic ambae kuna ushahidi kuwa anmawasiliana ya karibu sana na vyombo vya uwt na mwigulu na kuna malipo yaliyofanyikaàmbayo biashara yake bila shaka ni kwa kushiriki kwake kumrekodi kaka yake lwakatare hakutekwa kama alivyo dai na kukata rb,polisi wanashangaa namnaàlivyotekwa na kusema ni yakutunga...
source: rfa

Ur right!
 
So what?
 
Kwamba suala la kutekwa kwa Ludovick lilikuwa ni moja kati ya maigizo ya kusisimu ni jambo lililofahamika na kila mtu....ni mjinga tu ndie ambae angeamini ya kwamba alitekwa!! Sasa kama alishindwa hata kuigiza upatikanaji wa RB halali(toka polisi), basi kumbe wala si muigizaji mzuri kama ambavyo nilimdhania.....!!
 
GAzeti gani? Kama. Siyo Tanzania daima
 
Ile haikuwa RB, bali ilikuwa ki RB ya ku qualify movie feki.
Si muda mrefu usalama wa ccm utajichanganya, aliyelikisha hii noma asipong'olewa kucha atakuwa na bahati.
 
Tatizo vyombo vya usalama navyo ni vya kijani, vinginevyo wangechunguza a/c zake na washirika wake zingekutwa na amount na miamala ambazo ni kweshenabo.
 
Nimesikia habari magazetini kuwa mtuhumiwa wa ugaidi ludovic ambae kuna ushahidi kuwa anmawasiliana ya karibu sana na vyombo vya uwt na mwigulu na kuna malipo yaliyofanyikaàmbayo biashara yake bila shaka ni kwa kushiriki kwake kumrekodi kaka yake lwakatare hakutekwa kama alivyo dai na kukata rb,polisi wanashangaa namnaàlivyotekwa na kusema ni yakutunga...
source: rfa
Gazeti gani? Kama ni TAnzania Daima niendelee na shughuli zangu, MABERE type anajifanya kuja na simu za watu waliomtesa Kibanda kumbe simu zenyewe kachongesha kwenye vibanda vyake vya mawakala wa makampuni ya simu.
 
Ile haikuwa RB, bali ilikuwa ki RB ya ku qualify movie feki.
Si muda mrefu usalama wa ccm utajichanganya, aliyelikisha hii noma asipong'olewa kucha atakuwa na bahati.
Fuatilia kama gazeti ni TAnzania Daima bora uende kanisani tu mkuu
 
Tatizo vyombo vya usalama navyo ni vya kijani, vinginevyo wangechunguza a/c zake na washirika wake zingekutwa na amount na miamala ambazo ni kweshenabo.
Chama pekee ambacho kimejitangaza kuwa na ma-source ndani ya vymbo vya usalama hapa nchini ni CDM
 
Gazeti gani? Kama ni TAnzania Daima niendelee na shughuli zangu, MABERE type anajifanya kuja na simu za watu waliomtesa Kibanda kumbe simu zenyewe kachongesha kwenye vibanda vyake vya mawakala wa makampuni ya simu.

Sawa, lakini hiyo bado haimtenganishi Mwigulu na ugaidi.Nyie endeleeni kuweweseka tu,Ridhwani katajwa lakini hadi leo hajapata uwongo wa kuwaambia watanzania.
 
RB! mnanikumbusha Rice-Beans . . . msosi wali-maharagwe pale kwa Bwashee College of Engineering ya Udsm.
 
Back
Top Bottom