Sera za CHADEMA zina mwanga, Angalia!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sera za CHADEMA zina mwanga, Angalia!!

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by LoyalTzCitizen, Oct 16, 2010.

 1. LoyalTzCitizen

  LoyalTzCitizen JF-Expert Member

  #1
  Oct 16, 2010
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 1,807
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 160
 2. M

  Mtaka Haki JF-Expert Member

  #2
  Oct 16, 2010
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 492
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwa kweli ni za kutupeleka karne ijayo.
  Those who keep on doing things the same way they will always get the same result they have always got.
  You can not get to where you need to be by remaining where you are.
   
 3. Japhari Shabani (RIP)

  Japhari Shabani (RIP) R I P

  #3
  Oct 16, 2010
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 721
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Ukitizama sera za vyama vyote katika link hiyo ni CHADEMA na CUF tunaweza kuziita sera CCM aibu tupu ngonjera na usanii.
   
 4. MartinDavid

  MartinDavid JF-Expert Member

  #4
  Oct 16, 2010
  Joined: May 22, 2009
  Messages: 876
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 45
  CHADEMA wanasera nzuri sana.. Nadhani na ninaamini ndiyo wanaostahili kuingia ikulu..

  Tuwape nafasi kama vile tulivyowapa TANU na CCM nafasi ya kutawala nchi yetu..
   
 5. LoyalTzCitizen

  LoyalTzCitizen JF-Expert Member

  #5
  Oct 16, 2010
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 1,807
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 160
  Nimemsikiliza huyu jamaa, anaongea na kuzielezea vizuri tu na sio kuzungushazungusha wala kuchekacheka kama wasanii wetu wa kiduku sisiem
   
 6. Mchizi

  Mchizi JF-Expert Member

  #6
  Oct 16, 2010
  Joined: Apr 23, 2009
  Messages: 671
  Likes Received: 847
  Trophy Points: 180
  Hata hayati Baba wa taifa JK Nyerere alisema ,CHADEMA ni chama chenye sera nzuri
   
 7. m

  mwita ke mwita JF-Expert Member

  #7
  Oct 16, 2010
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 5,477
  Likes Received: 1,214
  Trophy Points: 280
  CCM naona ni chama cha wasaniii
   
 8. H

  HAMY-D JF-Expert Member

  #8
  Apr 21, 2013
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 6,825
  Likes Received: 710
  Trophy Points: 280
  Kumbe kabla ya uchaguzi wa 2010 utaratibu wa pro-chadema kuiponda ccm ulikuwepo? Na bado wakasambaratishwa na ccm ikaibuka kidedea.

  Haya tunayoyaona sasa ya pro-chadema ni kama mfa maji tu.

  Viva ccm viva.
   
Loading...