Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Founding President of united state of Tanzania Julius Nyerere If Mwalimu Julius Nyerere was alive today he could have not endorsed most of personalities aspiring highest leadership positions...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nikimsikiliza Mzee kingunge ktk tamasha la kigoda cha mwalimu, ndio nimeijua ccm kuwa chama kigaidi,kishabiki na kufuata mkumbo kama manyumbu ya serengeti ktk migration. Akiongea kwa kujiamini...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
habari wana jf, naomba tujadili suala hili ambalo kwangu mimi ninaweza kuliita ni janga la kitaifa, ndio ni janga la kitaifa kwa sababu wengi wetu tunaathilika na jambo aidha tukiwa tunalitambua...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Chadema: Wabunge waliofukuzwa ni mashujaa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe amewasifu wabunge wa chama hicho waliosimamishwa huku akimshambulia Spika wa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Baada ya Spika wa Bunge, Anne Makinda kutoa mwongozo na kuunga mkono uamuzi wa Naibu wake, Job Ndugai kuwasimamisha wabunge sita wa Chadema, wasomi, wanasiasa na wanaharakati wamesema Kiti cha...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
ni ukweli usiopingika kuwa EL ndiye mwanasiasa kutoka ccm ambaye ana nguvu zaidi ndani na nje ya ccm pengine kuliko wenzake wote ndani ya chama.!licha ya kashfa zote zinazomkabili bado EL...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Imeandikwa tarehe 21 Aprili 2013 By Maulid Ahmed, Dodoma WABUNGE wamemtaka Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Mazingira Terezya Huvisa kuzivunja nyumba mbili zilizopo Mbezi Beach jijini Dar...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nimekuwa nikijiuliza swali hili mara nyingi,hivi kwa nini viongozi wa dini ambao ni wabunge hasa wa ccm ni wanafiki?Nasema ni wanafiki kwa sababu kuna masuala mengi ya msingi ambayo huwa wanatetea...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Wakuu Mimi nitatoa Lita 30 za Disel au Petrol kwa ajili ya kufanikisha Uchaguzi wa Madiwani, Na hii ni ili kuhakikisha CHADEMA inashinda viti vingi kadri itakavyo wezekana, Sitaweza kushiriki...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
KATIBU MKUU WA CCM ABDURAHMAN KINANA AKUTANA NA VIONGOZI WA CCM MOROGORO MJINI, KUUNGURUMA KATIKA MKUTANO WA HADHARA LEO...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
CUF? CCM VS CHADEMA NCCR? HATIMAYE Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetangaza uchaguzi mdogo katika kata nne za udiwani kwenye Jimbo la Arusha Mjini kutokana na waliokuwa wakishikilia nafasi...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
POLISI WAMBAMBIKIZA KESI RAIA KWA MISINGI YA KISIASA KADA WA CHADEMA AUNDIWA KESI Waliokamatwa na kosa waachiwa, abambikizwa asiyekuwapo kisa anatoka Chama Fulani-Huku ndio tunapeleka nchi yetu...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa amesema kuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimechanganyikiwa ndiyo maana kinafanya hujuma kutaka kuisambaratisha...
1 Reactions
32 Replies
4K Views
Hii ni mpya na imeanza kazi kabla ya kutungwa inasema mbunge akiomba utaratibu /mwongozo maranyingi atatolewa nje na kufungiwa kuingia bungeni kwa siku tano NIANBIE TUNA BUNGE AU KLABU YA POMBE ZA...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wakuu, Katika kutafakari kile kinachoendelea sasa katika Bunge letu la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa sasa, na kujaribu kuelewa tumefikafikaje katika enzi ya kuwa na Bunge linaloyumba, lenye...
2 Reactions
14 Replies
18K Views
Salute JF!,Kwa wale wavivu wa kufikiri na wafuasi wa Magamba,je ni kweli kwamba serikali inatuaminisha kuwa serikali ya China inatupenda na kutusaidia katika nyanja mbalimbali za kiuchumi?,bila...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
KAMISHINA wa Maadili Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma, Jaji Mstaafu Salome Kaganda, amewaasa wabunge kuacha tabia ya kuvuana nguo ndani ya ukumbi wa Bunge, badala yake...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mnamo tarehe 29 April 1982 taarifa ya habari ya saa mbili usiku ilisema hivi nanukuu-Rais Nyerere amawafukuza kazi maofisa tisa wa mamlaka ya usitawishaji makao makuu CDA kwa makosa kadhaa ikiwemo...
8 Reactions
33 Replies
4K Views
Nimeipenda sana hii makala ya Joseph Isango. Inatia hasira sana ukitafakari yanayotokea hivi sasa nchini. Isango anasema Tumesikia, Tumeona, Tutaamua! NIMEJARIBU kutafuta kamusi ya Kiswahili...
0 Reactions
0 Replies
956 Views
WARAKA WA NDUGU GOLDEN CHARLES MARCUS KWA TUME YA MABADILIKO YA KATIBASUNDAY, APRIL 21, 2013 GOLDEN CHARLES MARCUS WARAKA WANGU KWA SERIKALI, TUME YA MABADILIKO YA KATIBA NA WANANCHI KWA UJUMLA...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom