Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hivi karibuni kumekuwepo kwa mgogoro kati ya wananchi wa kijiji cha Manchali na Chalinze Dodoma. Mgogoro huu umechochewa na mradi wa umeme ambao umeelekezwa katika kijiji cha Manchali na kwenye...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mwanasiasa mkongwe na kada wa CCM, Chrisant Mzindakaya amekitaka chama cha Mapinduzi CCM kujibu hoja za Chadema kwa kuwatumia viongozi wa mikoa ambayo Chadema wanafanya mikutano badala ya...
0 Reactions
36 Replies
5K Views
Jamani bunge la Tz linahitaji maombi ama labda livunjwe waanze upya,matusi bora ya Wabunge wa CCM Bungeni,Peter Serukamba come on ---- you,yeye anaendelea hajatolewa nje na walinzi wa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
*Sakata la mgogoro unaorindima kwa sasa kuhusu unyang'anywaji wa Ardhi ya Loliondo kwa lengo la kumpa mwekezaji wa kiarabu umemvuruga sana Rais Kikwete na kusita kujitokeza hadharani kulitolea...
3 Reactions
70 Replies
9K Views
• Serikali yahaha kusaka bilioni 200/- kujinasua na Martin Malera, Dodoma WABUNGE wamepanga kuisulubu Serikali ya Rais Jakaya Kikwete kwa kukwamisha bajeti ya Wizara ya Maji kama...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwa jinsi ambavyo wabunge wa CCM wamekuwa wakitetea hoja hata zisizo na maana kisa tu kulinda serikali tawala ya chama chao, huwa najiuliza hivi CDM nao wakichukua nchi, wabunge tunaowaoona sasa...
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Nadhani hakuna ubishi kuwa CCM ni chama cha watu waongo, watu wadini. Kama una mawazo tofauti utatakiwa kunipa ushahidi unaojitosheleza ndo nikuelewe. Mwaka 1993 CUF ilikuwa na nguvu sana...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Majuma kadhaa yaliyopita, yule mshambuliaji wa kujitoa Mhanga aitwae Hussein Bashe (Certificate CBE) alitoa tuhumua nzito dhidi ya Waziri Membe, akimhusisha na tukio baya la shambulio dhidi ya...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Nikiwa mahali nimeka katika mghahawa mmoja katika jiji la Dar es Salaam nikiwa na kikombe changu cha kahawa wanakuja wabunge wawili wakaanza mazungumzo lakini Mwisho wakasema hapa hali ningumu...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Adai wanaganga njaa kwenye siasa. > Asema wanalojua ni kung'oa kucha watu. > Laana ya damu kwenye operesheni zao inawatafuna. > Wanataka madaraka kwa gharama yeyote. > Awataka wananchi kuwa macho...
0 Reactions
85 Replies
7K Views
  • Closed
Ndugu zanguni Nimefuatilia mkutano wa CCM Morogoro leo na nikalinganisha na uchaguzi wa madiwani mwisho mwa mwaka jana na nikapatwa na hofu kubwa sana kuwa kama tusipoanza kuwaeleimisha vijana...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
  • Closed
Katika kauli ambazo kwa kweli ziliwahi kunichefua ni hii iliyokua ikitolewa na Matthias Manga ambaye ni Diwani wa Kata ya MLANGARINE,(CCM) ktk Jimbo la Arumeru Magaribi. Kwa wale wanaomjua...
4 Reactions
93 Replies
15K Views
Niliamua kuvumilia kumsikiliza Katibu mkuu wa CCM akihutubia Taifa kutokea Morogoro. Ninasema akihutubia Taifa kwa sababu chombo chetu kinachoendeshwa kwa kodi zetu ndicho kilichokuwa kinarusha...
3 Reactions
32 Replies
4K Views
Sasa niko Dodoma 'kikazi' kwa shughuli za chama yaani CCM. Hapa Dodoma,pamoja na kufuatilia nyendo za Wabunge wa CCM,lakini pia tunazifuatilia nyendo za Wabunge wa upinzani hasa wa CHADEMA...
15 Reactions
52 Replies
6K Views
  • Closed
Kuna kauli nyingi za uchafuzi wa hali ya amani unaoendelea hapa nchini ambao unaendeshwa na viongozi wa dini, kama ule uliotolewa na Sheikh ILUNGA KAPUNGU wa kitio cha Thaaqib Islamic Centre cha...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Uchaguzi mdogo kata za Arusha kufanyika Juni 16 na Shehe Semtawa HATIMAYE Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetangaza uchaguzi mdogo katika kata nne za udiwani kwenye Jimbo la Arusha Mjini...
0 Reactions
52 Replies
8K Views
Jioni ya leo Jijini Mwanza wananchi waunga mkono kiti cha spika, kwa kujitokeza kwa wingi kuwaona makamanda 6 waliotimuliwa Bungeni. Kweli wananchi kumbe uwa mnaonna.
0 Reactions
21 Replies
4K Views
By JOINT REPORT The EastAfrican Posted Saturday, April 20 2013 at 18:38 IN SUMMARY According to a new audit report on the 2007 contract, the government says it has fresh evidence to...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
NIMEJARIBU kutafuta kamusi ya Kiswahili sanifu, nikakuta neno bahati mbaya, maana yake ni kujaribu jambo bila kujua matokeo yake. Niambieni je, ni kweli Peter Serukamba hakujua kuwa anatukana...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Ndugu zanguni, Ni miaka miwili tu imebaki kabla hatujingia kwenye uchaguzi mkuu wa Urais na wabunge 2015. Ningependa tu kuwaasa ndugu zanguni mambo ya kuzingatia ili tusifanye makosa ambayo...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Back
Top Bottom