Mzindakaya naye akiunga mkono Chadema | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mzindakaya naye akiunga mkono Chadema

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Luteni, Mar 7, 2011.

 1. Luteni

  Luteni JF-Expert Member

  #1
  Mar 7, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 2,274
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Mwanasiasa mkongwe na kada wa CCM, Chrisant Mzindakaya amekitaka chama cha Mapinduzi CCM kujibu hoja za Chadema kwa kuwatumia viongozi wa mikoa ambayo Chadema wanafanya mikutano badala ya kumsubiri Waziri Mkuu au rais kujibu hoja.

  “Viongozi wa CCM katika mikoa ambayo Chadema wanapita na kutoa hoja zao, wajibu kwa kuponda hoja hizo ili wananchi waelewe hali halisi na siyo kumsubiri Waziri Mkuu au Rais kujibu hoja,” alisema Mzindakaya.

  Amehoji iweje Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM (NEC) kuwa kimya muda wote kama iko likizo na kuiachia Serikali kazi ya kisiasa hasa katika kipindi hiki?

  Source: HabariLeo
   
 2. Johnsecond

  Johnsecond JF-Expert Member

  #2
  Mar 7, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 1,077
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Majibu ya CCM ukijifanya much know utakosa kazi, yanaenda kwa utaratibu kwa sababu kuna don't-mention nyingi sana. Unaweza kujibu ukajikuta umemgusa JK au Pinda mwenyewe hapo utaitwa utoe maelezo ndo maana watu woooote na wabunge woooote wa ccm wamekuwa waoga kuongea. CDM kinakubalika na hakuna wanachoweza kufanya kukizuia i swear !
   
 3. Ms Judith

  Ms Judith JF-Expert Member

  #3
  Mar 7, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 2,569
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  na bado, mwaka huu wanalo.....
   
 4. K

  Kicheruka JF-Expert Member

  #4
  Mar 7, 2011
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 791
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hata CCM walio wengi si mafisadi kwa hiyo wanapigika na mgao wa umeme na gharama za umeme kuwa juu na bei ya bidhaa mbalimbali kupanda hovyo ndio maana hawataki unafiki wa kutetea upuuzi wa mafisadi na uzembe wa viongozi walioshidwa kucontrol bei na uchumi
   
 5. Wed

  Wed JF-Expert Member

  #5
  Mar 7, 2011
  Joined: Mar 7, 2011
  Messages: 298
  Likes Received: 137
  Trophy Points: 60
  .

  Kwani CCM "itasafisha" au "kuponda" hoja gani wakati wote hao yaaani CCM+Serikali ndo watuhumiwa ?? Je, nani aisiyejua kwamba NGEDERE na KIMA ndio wezi wa mahindi yetu ? Je, nani amsafishe mwingine?? ngedere au kima ???

  Chadema, Go, we are together hadi hawa ngedere-watu na Kima wanaoiba na kuhujumu shamba letu la mahindi wakamatwe na kuathibiwa vikali !!!!
   
 6. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #6
  Mar 7, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Ninapata shida na kichwa cha habari! Labda nakosea ni wapi ameunga mkono CHADEMA?
   
 7. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #7
  Mar 7, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Hili nalo neno kutoka kwa mzee wetu wa zamani.
   
 8. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #8
  Mar 7, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,274
  Trophy Points: 280
  Ukipenda waweza kuita habari ya kichwa.
   
 9. Idimi

  Idimi JF-Expert Member

  #9
  Mar 7, 2011
  Joined: Mar 18, 2007
  Messages: 10,222
  Likes Received: 2,086
  Trophy Points: 280
  Mbona kazi ipo. Jana Paul Ndobho kaongea, leo Mzindakaya, majuzi Butiku, jamani kwani sisiemu haina msemaji? Kazi ya Kapt. Chiligati ni ipi basi?
   
 10. Ngisibara

  Ngisibara JF-Expert Member

  #10
  Mar 7, 2011
  Joined: Jan 2, 2009
  Messages: 2,083
  Likes Received: 431
  Trophy Points: 180

  Mzindakaya naye kweli kachoka kisiasa na akili yake haiangalii mbali, labda swali dogo kwake nimuulize hivi...Ni Makada wepi kutoka kundi gani ktk CCM wilaya/Mkoa walio na haki ya kuijibu CDM, je ni Makada fisadi ngazi ya Wilaya/Mkoa? au Makada Wapiganaji ngazi ya Wilaya/Mkoa? Mzindakaya anapaswa kulijua hilo kwanza ...ushauri wa bure kwake ni kwamba kokoro lenu limebeba uchafu safisheni kwanza mkianzia na uozo wa Rostam wakifuatia makada wachafu na baada ya hapo mgonjwa atatoka ICU..ila kwa jinsi tunavyowajua mmeshakata tamaa na mnasubiri miujiza ya mola wenu
   
 11. B

  Byendangwero JF-Expert Member

  #11
  Mar 7, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Mzindakaya anataka CCM ijibu nini, wakati anajua fika chama chake akina jibu lolote kwa hoja za msingi zinazoibuliwa na CDM. Ndiyo maana wale wote ambao wamejaribu kujibu hoja hizo, akiwemo waziri mkuu mwenyewe, wameishia katika vitisho!
   
 12. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #12
  Mar 7, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  Source: HabariLeo
   
 13. h

  hoyce JF-Expert Member

  #13
  Mar 7, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 1,119
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Hajaunga mkono lolote. Heading inapotosha. Wote ni yale yale
   
 14. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #14
  Mar 7, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Ujasiri kama huu wa Mzindakaya ...CCM wanaukosa na itawagharimu sana...

  hakuna mtu aliyebaki CCM mwenye ujasiri wa kujibu hoja nyepesi tu ambazo CHADEMA wanahoji!!

  Kwa mapungufu hayo CCM wanjikanyanga ...mpaka wanajimaliza wenyewe..
   
 15. STEIN

  STEIN JF-Expert Member

  #15
  Mar 7, 2011
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 1,764
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Hawa CCM, iwe mzee au kijana ni matatizo matupu, Watanzania wanataka umeme, Mafisadi washughulikiwe, Maisha bora bei ya vitu kushuka. Katika haya yote CCM watajibu nini? mbona wanajidanganya, Mzindakaya anasema CCM ijibu utadhani yeye CDM, Sumaye anasema CCM ijibu utadhani yeye CUF, Hawa kweli mwisho wao umefika.
   
 16. Luteni

  Luteni JF-Expert Member

  #16
  Mar 7, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 2,274
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Tatizo la CCM si kwamba hawana majibu wanaweza kuja na majibu mazuri ukashangaa tatizo liko kwa nani ajibu, ukiangalia NEC yote kila mtu anajihisi ndiyo maana wanawaachia Pinda na JK kazi za kisiasa sijui za kiserikali watazifanya lini.
   
 17. Arsenal

  Arsenal Senior Member

  #17
  Mar 7, 2011
  Joined: Aug 12, 2008
  Messages: 191
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  CCM Bwana hawana akili unajua wanatafuniwa kila kitu na Chadema!!! Wao walipaswa ku act on those issues za Chadema ili kusiwe na gaps tena....Mi sielewi issue iko wapi??? ya nini kuwatishia Polisi au Mahakama? we grab those issues peleka serikalini wana act on those..thats it...wao CCM kutwa :blah:
   
 18. Luteni

  Luteni JF-Expert Member

  #18
  Mar 7, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 2,274
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Chadema wasingekuwa na hoja sidhani Mzindakaya angetamka hayo kama anataka hoja za Chadema zijibiwe kwa hoja maana yake nini hoja za Chadema ni za msingi. Kwa mtu mzima kuunga mkono kitu si lazima atamke neno 'naunga',
   
 19. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #19
  Mar 7, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,274
  Trophy Points: 280

  gime me a breack please, ni ujasili upi huo wa Mzindakaya aliounesha? au hii thread ina remixer yake ambayo mimi huenda sijaisoma? mbona alichoongea Mzindakaya hata mjumbe wa nyumba kumi anaweza kuongea au wapo wanaoongea sana tu lakini hawana media coverage? kama Watanzania tuna mawazo ya hovyo namna hii, basi kuna zaidi ya tatizo.
   
 20. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #20
  Mar 7, 2011
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,908
  Likes Received: 12,062
  Trophy Points: 280
  Ni mawazo gani ya hovyo aliyoongea Mzindakaya.
   
Loading...