duocore
Member
- Aug 27, 2012
- 55
- 5
Hivi karibuni kumekuwepo kwa mgogoro kati ya wananchi wa kijiji cha Manchali na Chalinze Dodoma. Mgogoro huu umechochewa na mradi wa umeme ambao umeelekezwa katika kijiji cha Manchali na kwenye pampu ya maji iliyo kijiji cha Chalinze. Mgogoro huo ni juu ya maji na umeme. Je, ni busara ipi iliyotumika katika mradi huo? Dhana ya ushirikishwaji iko wapi? Serikali angalieni hilo.