CHASO SUA main campus nao wapata makamanda wao

CHASO SUA main campus nao wapata makamanda wao

Joined
Mar 25, 2012
Posts
8
Reaction score
3
Wanachma na wadau wa CHADEMA SUA main campus , jana wamefanikiwa kuwachagua makamanda wao wa CHASO , Viongozi mbalimbal kutoka wilayani na mkoani walihudhuria , uchaguzi huo ulisimamiwa na mwenyekiti wa CHASO mkoa wa Morogoro kamanda KAGOSE wa chuo kikuu JORDAN.
 
Tutajie hao viongozi wa Chaso SUA vinginevyo hukuwa na sababu ya kuanzisha thread isiyokamilika ikiwa wewe ni msomi wa chuo kikuu.
 
Panga taarifa yako vizuri wewe sasa hapa umeandika nini?Bora ungaeacha tu.
 
Ndugu mimi nlikua mdau mkubwa sana wa vuguvugu la CHADEMA miaka kadhaa hapo SUA. najua lengo lako lilikua kutupa habari basi panga thread yako ieleweke na taja majina ya hao makamanda tuwajue.
 
Wanachma na wadau wa CHADEMA SUA main campus , jana wamefanikiwa kuwachagua makamanda wao wa CHASO , Viongozi mbalimbal kutoka wilayani na mkoani walihudhuria , uchaguzi huo ulisimamiwa na mwenyekiti wa CHASO mkoa wa Morogoro kamanda KAGOSE wa chuo kikuu JORDAN.

Umetoka kwenye pindi la kilimo
cha mbogamboga au? maana hii
thread inaonekana umeandika
huku unakimbilia kwenda kulima
matuta ya bustani. Haya bhana,
hao ndo makamanda wa chuo cha
kilimo??
 
Back
Top Bottom