Kikwete na style ya kuongoza remotely

Kikwete na style ya kuongoza remotely

Bramo

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2009
Posts
13,254
Reaction score
10,252
Wakuu JF,
Amani iwe kwenu.
Kwa sisi ambao Tunapata Kitoweo chetu kupitia Teknlojia ya Habari na Mawasiliano, kwenye kazi zetu kusikia kitu "Remote Monitoring" ni kama sala.
Hili ni kama Jina letu la Pili vile, Mitambo mingi sana ya Mawasilaiano (Hata ambayo sio ya Mawasiliano) in most case huwaga inakuwa accessed Remotely.
Iwe ni kwa ajili ya Maintanance, General Health Check, Backups, Troubleshooting etc etc.
Wakati Mwingine hulazimika kwenda site Pale Tatizo linapokuwa Kubwa.
Essance ya Kufanya hivyo ni ku minimise cost za kwenda na Kurudi Mara kwa Mara, na Pia ku sevu taimu.

Sasa cha ajabu, Rais wetu naye anapenda hii style, akini yeye ana ai apply in a wrong Place.
Rais wetu amekuwa na Tabisa ya Kutwala Remotely, actions zake hatuzioni directly
Matamko yake hatuyasikii directly illa effect zake tuna zi feel.
Ni Mpenda safari sana (sina haja ya Kulijadili hili),yanapotokea Matatizo hutoa Maagizo Remotely.

1. Mgomo wa Ma Dakatari
2. Issue ya Gas Mtwara
3. Uhuru wa Vyombo vya Habari na Kufungiwa Mwananchi
4. Kutekwa na kuteswa Kwa Dr Uli
5. Kutekwa na Kuteswa kwa Kibanda
.
.
.
.
.
.
.
. Sijashindwa Kuongoza Nchi


My Take

Inaonesha kuwa Rais wetu Mara anapohisi/anapojua kuwa kutatokea kitu Flan, fasta hutafuta Safari
Pia ikitokea kuwa anataka kutoa Ufafanuzi ama kutaka kujitetea kwa Jambo Flan, hukimbilia Nje ya Nchi.
Huyu ni Rais wa Namna gani?????????????????????????????????????
 
Back
Top Bottom